Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Afu wanalala kitanda kimoja? Hakuna hata salamu? Matumizi wanapeanaje?
wanaandikiana vi note
Na mimi nina mtazamo wa hivyoMnaweza mkachuniana ila mechi zinaendelea kama kawa, tena zinakuaga mechi kali na tamu kweli.
Kama mwanamke akifurahia utamu wa kirunguMafahari wawili hawakai zizi moja.. Kwa hiyo hata kudo wanaandikiana kuwa nina genye kisha wanado wakimaliza tena wanaandikana asante au inakuwaje?? Dah... Sipati picha
Afu wanalala kitanda kimoja? Hakuna hata salamu? Matumizi wanapeanaje?
Mke ana kibaruaAfu wanalala kitanda kimoja? Hakuna hata salamu? Matumizi wanapeanaje?
Halafu ni mafundi wa kuingiza mbele za wageni,'balaa"Hamna kuongea hapo.. mnamegana kimya kimya no kelele no sauti.. Mnamaliza mnapeana migongo.. Mpaka mmoja aumwe au aje mgeni hapo..
hata mimi ninafikiri hivyohivyo
Halafu nilijishtukia kitu kama hicho....Acha ubwege nazi wewe....kila kitu we unafikiria hivyo hivyo.....
By the way UMETISHA NA STYLE YAKO HOYOO!!!!!HAHAHAHAAHHAHAHAAH
Na mimi kidogo niseme hivyohivyoPorojo time
Halafu ni mafundi wa kuingiza mbele za wageni,'balaa"
mgeni ...utasema ndoa ndio hii......
na utatamani uwe na familia kama hiyo...
kumbe..........usilolijua..............
ku do sijui inakuwaje
Ikishatokea hivyo kila mtu na hamsini zake.Hata ukifeel like to, unajikaza.( according to my experience).
Kimaandiko hutakiwi kulala na chuki mpaka asubuh kunakucha, mkikwazana zungumzeni peaneni makavu kisha mnasameheana.
ku do sijui inakuwaje
una gonga nje..........
Yaani na mimi nilishaanza ku ''chuna''chuna tu