Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
eti usafi ni kwa mwanamke tu. aliyekuambia mwanaumw mchafu hakeri nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu! mm wiki ya 2 sasa wife kaninunia kisa hata hakieleweki leo narudi kazi hakuna chakura wala nn nauliza eti mboga hakuna amechoka hawezi kwenda sokoni amenirushia hela niende sokoni duuu.!!
Mimi ni mgeni jamvini lakini ni muuini mzuri mzuri wa jf. Nawataka mnisaidie katika hili. Inawezekana mume akamnunia mkewe kwa miezi mitano na zaidi? Wanalala kitanda kimoja na kuishi nyumba moja bila mgegedo? Nisaidieni jamani.
Marahabaa
daah leo nimepata mengi sana hapa, niwashukuruni sana wote mulochangia mada hii kwa busara za hali yajuu sana ukiachilia wachache mloleta maneno mbofumbofu! bado nipo naendelea fuatilia uzi huu elimishi kwangu kweli nimejifunza!!!
leo hii namimi ni mhanga kwa hili yaani tangu j2 ilopita had leo j2 hali ni tete mtu amenuna n'a chakula hakupikwi basi mm nimejitahid kua kimya coz kila nikibembeleza moto unazidi, nikitoka kazni hua nakula njian nikifika naoga nalala zangu, leo hapa nimelala nasoma jf lakin mwenzangu yupo sebulen analia sababu bado sijajua cjui ni ukimya wangu au laah!
tutaendelea kufahamishana wajamani ndoa. ndoano
kwenye kuitwa baba fulani inatokana sana na watoto kwenye familia yenye watoto wadogo inabidi kuitana kama wanavyofanya watoto ili watoto wajue kuwa yule ni baba, unapomwita jina lake mfano Peter au darling unawachanganya sana watoto kiasi kwamba kesho akiulizwa baba yako nani atajibu 'darling'
ile inafanyika kwa sababu ya watoto ila huko chumbani mkiwa peke yenu au kwenye chakula cha usiku mnaweza kuitana majina yote ya mapenzi
kuna katoto kamoja baba yake alikuja na wageni basi kikamkimbilia na kumuita jina lake mfano Peter Jipanguse dingi yale nae akajibu rrrrrrrrraaaaa rrrrrrrrrraaaaaaaa wale wageni hoi kwa kicheko nasikia hako katoto kanamwita baba yake kwa jina lake la kwanza na nahisi ni kutokana na mama yake anavyomwita mumewe
so kwa familia yenye watoto kuitwa baba fulani au mama fulani nadhani imekaa fresh tu ila mkiwa 6 x 6 inakuwa haijatulia
Utupe mrejesho kaka!
Wanaosemaga ndoa wito hawajakosea. Cz kila cku unakutana na watu wapya na wazuri. Mwishowe unanuona yule wa ndan mbaya. Mungu atusaidie tuuila all in all kuishi na mtu mmoja milele sio mchezo aisee
Ah ah ah ah ah my ribsHahahahah! Kuna jamaa mmoja alipopata mtoto wake wa kwanza, kazini kwao wanawake badala ya kumwita jina lake wakaanza kumwita Baba Upendo akawa anakereka mpaka anajibu ''Baba Upendo mwenyewe''!!!
Amen. Nimejifunza kituHakuna kitu kibaya kama hicho; naongea from xperience nakwambai ni Neema ya mungu ilituponya kwani the moment mwenzio anakufanyia hivyo inaleta messsage mabya sana kwako na unachukia toka moyoni; kibaya zaidi waweza kufanya lolote baada ya hapo kwani saa zote mtu unakuwa na hasira na kwa wenye roho nyepesi hushindwa kujizuia; Ilitugharimu sana sisi kupona na janga na nawaa couples humu ndani msinyimane eti ikiwa ni silaha ya kurekebishana; MMEKWISHA!
Ah ah ah ahHaujatengenezwa wewe.ndio maana kule kwetu tanga demu akikupata tu fasta lazima akakutengeneze ili ukae kwenye mstari,ukiona ulimpenda sana baadae ukamchoka jua kuwa dawa zishaanza kwisha nguvu wala hajazi-renew.
Neema ya Mungu iwashukie hapo mlipo. Kwa akil zako huwezKuna mambo mengi katika hilo. Hivi ninavyoandika mimi na mwenza wangu kila mtu yupo chumbani kwake hakuna kusemezana. Ni mambo mengi yanapelekea kufikia hali hiyo. Sasa nikimuona mwanamke yeyote naona ni yale yale lakini nahitaji kupumua maana yamenielemea kupita kiasi.