Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

Duu! mm wiki ya 2 sasa wife kaninunia kisa hata hakieleweki leo narudi kazi hakuna chakura wala nn nauliza eti mboga hakuna amechoka hawezi kwenda sokoni amenirushia hela niende sokoni duuu.!!

Mwenzenu napiga deck,..mwenzenu naosha vyombo,..malizia.
 
Mimi ni mgeni jamvini lakini ni muuini mzuri mzuri wa jf. Nawataka mnisaidie katika hili. Inawezekana mume akamnunia mkewe kwa miezi mitano na zaidi? Wanalala kitanda kimoja na kuishi nyumba moja bila mgegedo? Nisaidieni jamani.

Kwangu inawezekana kama nimegundua mke anachepuka hamu inaisha kabsaaaa...
 

Utupe mrejesho kaka!
 
ila all in all kuishi na mtu mmoja milele sio mchezo aisee
 

Nimeipenda comment yako thumb up😛
 
Wanawake wametofautiana sana leo nitatoa mfano wa WANAWAKE WA KASKAZINI MWA TANZANIA (KIlimanjaro, Arusha na Manyara) hawa kwao hujibidisha kabla ya ndoa baada ya ndoa wao hayawahusu hujiachiaaa na kujisahau mazima. Hata umuelekeze vipi namna ya kuishi/kumjali na mume wao ni KAZI na PESA (full stop) ndio maana wanaume wengi hawakos michepuko.
 
inasikitisha sana kwa dada zetu WACHAGA ni hodari sana kudai/kulilia ndoa lakini baada ya kuolewa hujisahau kupitiliza/KUJINENEPEA mpaka ulimi kisaaa ameolewa na hana la kupoteza. kosa lao kubwa hudhani waume zao hawadindish.i huko nje wakiona ma.tako au vimodo.
 
Jamani kununa wakati mwwngine ndo mapenzi hayoo waulize Wakuriyaa ,kununa kwao ni kijisehemu flani kidogo sana katk mapenzi but kupigwa ndo jadii

Hasaa kipindi cha ujauzito ndo utanuniwa hadi ukome mpaka kurudi nyumabni waona shidaa

Lakini kununa wakati mwengine ni raha sababu wanawake wengine wakinuna wanakuwa wazuriy balaaaaaaaaa??????????
 
wachaga ni janga la kitaifa, in short wanaboa sana hata kitandani zaid ya "NJE-NDANI traditional approach" hawana jipya. PLUS kukosa ubunifu katika nyumba, usafi n.k.
 
ila all in all kuishi na mtu mmoja milele sio mchezo aisee
Wanaosemaga ndoa wito hawajakosea. Cz kila cku unakutana na watu wapya na wazuri. Mwishowe unanuona yule wa ndan mbaya. Mungu atusaidie tuu
 
Hahahahah! Kuna jamaa mmoja alipopata mtoto wake wa kwanza, kazini kwao wanawake badala ya kumwita jina lake wakaanza kumwita Baba Upendo akawa anakereka mpaka anajibu ''Baba Upendo mwenyewe''!!!
Ah ah ah ah ah my ribs
 
Amen. Nimejifunza kitu
 
Haujatengenezwa wewe.ndio maana kule kwetu tanga demu akikupata tu fasta lazima akakutengeneze ili ukae kwenye mstari,ukiona ulimpenda sana baadae ukamchoka jua kuwa dawa zishaanza kwisha nguvu wala hajazi-renew.
Ah ah ah ah
 
Neema ya Mungu iwashukie hapo mlipo. Kwa akil zako huwez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…