Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

nikinuna sana ni asubuhi mpaka mchana jioni nshasahau kuwa nlikuwa nimenuna nakumbuka katikati ya story ahhh kununa upya haifai tena. vitu vingine ni vipaji
 
aisee mi bora niendelee tu kuwa mteja wa wahaya pale KWA SOKOTA, CCM kata 14, sudani temeke, Tandika sokoni na KIGAMBONI. kwa 3,000 tshs. napata bao 1 la fasta (na kondomu & chumba vya bure) naendelea na shughuli zingine za kujenga nchi nikiwa mwepesiii. Asanteni
 
aisee kuishi na mwanamke tena mmekutana ukubwani ni kazi zaid ya KUTUMBUA MAJIPU. Inahitajika BUSARA & UKOROFI (kwa pamoja)
 
Aisee ndoa si mchezo bora waislamu waliamua kuwa unaweza kuoa wake wanne kwa pamoja kisha ukawaacha wote kwa mpigo na kuanza upya 1,2,3,4
 
Mwanamke ni kiumbe complex sana kuishi nae jamani, naona nazeeka sasa na dramma.
Niliongea sana mpaka ikafikia stage nikaonekana nalalamika sana ilihali ni ishu za msingi. Unapomwambia mtu jambo hulipendi halafu akawa anarudia mara kwa mara inafikia stage kukaa kimya ndio suluhisho, wether atachukulia nimemnunia or else atajijua!
Sasa nimeamua kupiga kimya tu. Sinuni ila sihitaji headaches. Akianzisha upumbavu navaa viatu naelekea sehemu yeyote ilio tofauti na nyumbani!
 
Wanawake ni kazi sana kuishi nao. Mwanzoni nilijaribu kumuweka sawa lakini sikuona mabadiliko. Zaidi ya makelele na vikao visivyokwisha. Sasa nimeamua kupiga kimya akiniboa napotezea. Kitanda natandika mwenyewe, kudeki chumbani na kufua nguo za ndani zote (zake na zangu) nafua. Maisha yanaendelea. Huko mbeleni hali ikizidi itabidi nikakununue tu iLe bidhaa pale Afrika sana-Kona baa. Maana sina nae tena "affection".
NB: kwa mazingira ya kazi yangu imenibidi kulala late sana saa 8 mpaka 9 usiku ili niweze kufanya kazi za ofisini na nyumbani kwa pamoja. Yeye na smartphone tu kutwa -kucha.
 
Hongera sana,itunze ndoa yako,nadhani ndoa zingine ni ile mtu alimkosa aliempenda ss inabidi tu aangukie sehemu aoe/aolewe maisha yaendelee, mapenzi yakujifosi magumu sana,mapenzi ya moyoni unaweza himili vingi zaidi na kusamehe kwa wepesi
 
Daaaaaaaaaa kama umeona madhaifu yangu
 
mimi naamin kila ndoa ina changamoto zake.kuna kitu ambacho wadada wengi hawajui hasa wakristo. mwanaume yeyote ni polygamy by nature. anatamaa ya wanawake na hata asipoooa mwingine atatamani tu. fanya ufanyacho labda yule mwenye imani na Mungu atamuogopa mungu kuchepuka ila anatamani tuuuu!
mwanaume hata ungemfanyaje ni kama kunguru asiyefugika. Na kusema ukweli matatizo mengi katika ndoa yanaanza pale mke anapojua kuwa mumewe ana mchepuko. katika hilo ni wanawake wachache wanao weza kujizuia kununa. na dharau na majibu ndio yanaanzia hapo. mke anaanza kudhamini wanae na sio kunguru asiyefugika.
Tena kuna kunguru wasio na adabu wanaruhusu hata mchepuke amtukane mkewe katika simu hata akikuta ugomvi kati ya mkewe na mchepuko anampiga mkewe sasa kuna sababu gani ya kumchekea mumuwe zaidi ya kucheka na wale aliyewaweka tumboni miezi tisa?
 
This happened to me, yaani inabore sana
 
Naomba wanandoa wote wake wapige kambi kwenye huu Uzi maana wanaweza okoa ndoa zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…