mwalimumzalendo1
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,098
- 406
Kuna wengine hawakwepeki anakukomalia mpaka kieleweke. Na wanavyojua kuongea hawa viumbe utakoma kumpenda. Anaweza kuwananga ukoo wenu mzima ndani ya sekunde chache tu.
ni declare interest, nilishawahi kumdunda wife mara kama nne hivi katika maisha yangu, na nilimdunda haswa kwa hasira. ilikuwa miaka ya mwanzo ya ndoa, niliona ananipanda hadi kichwani, hivyo kwa miaka miwili hivi ya mwanzo ili tujuane, tulizinguana sana kwasababu alikuwa mbishi halafu kwao inaonekana alikuwa na sauti hadi kwa mzazi wake, hata mamake wakati tumegombana aliniambia nimvumilie kwasababu ana mdomo sana na huwa anapenda awe juu. niliadibisha vya kutosha, akaona sina utani hata tunda katikati silitaki akaona ehee nataka kutafuta mchepuko...akashuka, baadaye tumekuja kusomana na kujuana madhaifu tukashibana, mimi najua kitu gani sitakiwi kumfanyia na yeye anajua mipaka yake kwangu mimi kama mume akivuka tu anajua reaction yake, matokeo yake ndoa imekuwa nzuri ajabu, tuna miaka mingi sasa na tuna watoto wa kutosha, hatugombani tena na ana heshima mno. ila wadogo zake kwangu huwa hawakai alivyo mkali...mkali kweli kwa wengine ila mimi amenifanya kama mfalme...hahahaha.eti kumshushia MAKONDE weweee mwanamke huwa hapigiwi hata siku 1, nikupe siri moja ya kuishi na wanawake bila kugombana nao hata akikosea we jichekeshe tu na kuomba msamaha maana wengi wao wamejaliwa kuongea maneno ya kuudhi/matusi we jidai mjinga huku unaendelea na mambo yako maana kubishana na mwanamke ni sawa na kudai serikali ya TANGANYIKA irudi.
Wanawake kwa asili wanapaswa kuwa watulivu na wanyenyekevu mbele za waume zao. Ukiona analeta kiburi basi ujue ameshapata bwana huko nje anampa dushelele na ndo kiburi kinapoanzia. Wenye majibishano/madharau dizaini hiyo WENGI wao ni WACHAGA (Marangu & Machame)
ni declare interest, nilishawahi kumdunda wife mara kama nne hivi katika maisha yangu, na nilimdunda haswa kwa hasira. ilikuwa miaka ya mwanzo ya ndoa, niliona ananipanda hadi kichwani, hivyo kwa miaka miwili hivi ya mwanzo ili tujuane, tulizinguana sana kwasababu alikuwa mbishi halafu kwao inaonekana alikuwa na sauti hadi kwa mzazi wake, hata mamake wakati tumegombana aliniambia nimvumilie kwasababu ana mdomo sana na huwa anapenda awe juu. niliadibisha vya kutosha, akaona sina utani hata tunda katikati silitaki akaona ehee nataka kutafuta mchepuko...akashuka, baadaye tumekuja kusomana na kujuana madhaifu tukashibana, mimi najua kitu gani sitakiwi kumfanyia na yeye anajua mipaka yake kwangu mimi kama mume akivuka tu anajua reaction yake, matokeo yake ndoa imekuwa nzuri ajabu, tuna miaka mingi sasa na tuna watoto wa kutosha, hatugombani tena na ana heshima mno. ila wadogo zake kwangu huwa hawakai alivyo mkali...mkali kweli kwa wengine ila mimi amenifanya kama mfalme...hahahaha.
ukiona kila mtu ametoka kwao na meno salasini na mbili, na pengine mmekulia kabila tofautu tamaduni tofauti, familia tofauti everything tofauti, ujue kuna differences nyingi sana ambazo hadi mje mkubaliane nazo kuishi nazo lazima mkwaruzane, msipokwaruzana hamtakuja kujuana na kushibana. ukiona ndoa hawajawahi hata kutemeana mate iyo ndoa kuna siku itakuja kufa kifo cha mende, ila wale ambao walishagombana na wakashibana na kuishi vizuri huwa hawaachani milele.
ni declare interest, nilishawahi kumdunda wife mara kama nne hivi katika maisha yangu, na nilimdunda haswa kwa hasira. ilikuwa miaka ya mwanzo ya ndoa, niliona ananipanda hadi kichwani, hivyo kwa miaka miwili hivi ya mwanzo ili tujuane, tulizinguana sana kwasababu alikuwa mbishi halafu kwao inaonekana alikuwa na sauti hadi kwa mzazi wake, hata mamake wakati tumegombana aliniambia nimvumilie kwasababu ana mdomo sana na huwa anapenda awe juu. niliadibisha vya kutosha, akaona sina utani h
umenisema lakin nimejfunza jambo.huyo mkeo ni mim kabisa..m ni mkali had kwa baba angu.mpnz wangu lakn ni mpole had huruma.daah ntajitahd kuijua mipaka yangu kwake
eti kumshushia MAKONDE weweee mwanamke huwa hapigiwi hata siku 1, nikupe siri moja ya kuishi na wanawake bila kugombana nao hata akikosea we jichekeshe tu na kuomba msamaha maana wengi wao wamejaliwa kuongea maneno ya kuudhi/matusi we jidai mjinga huku unaendelea na mambo yako maana kubishana na mwanamke ni sawa na kudai serikali ya TANGANYIKA irudi.
Wajameni (hususani wanandoa) ni kitu cha kawaida wengi kukuta watu wamenuniana hatari yaani hawasemezan hata mwezi mzima, unakuta kuna ugomvi kati yao kwa ishu ndogo tu hasa wivu, kulea watoto, kazi,ndugu na kubamba sms/email za mchepuko.
binafs nimeshaexperiece minuno kadhaa unakuta wife amefanya kosa Fulani unaamuliza kistaarabu lakini atakavyo-react balaa hakubali kama alikosea bali hutafuta KUJITETEA kwa kumbushia makosa yangu ya zamani tukiwa wachumba. Hapo mim huwa kimyaaa ili niepushe hasira za kumshushia MAKONDE. Basi unafuata MNUNO hata wiki 3. Hebu tujuzane ikitokea umekutana na mnuno kwa mwenzi wako dawa ni nini?
Kuna wengine hawakwepeki anakukomalia mpaka kieleweke. Na wanavyojua kuongea hawa viumbe utakoma kumpenda. Anaweza kuwananga ukoo wenu mzima ndani ya sekunde chache tu.
Wanawake kwa asili wanapaswa kuwa watulivu na wanyenyekevu mbele za waume zao. Ukiona analeta kiburi basi ujue ameshapata bwana huko nje anampa dushelele na ndo kiburi kinapoanzia. Wenye majibishano/madharau dizaini hiyo WENGI wao ni WACHAGA (Marangu & Machame)
ni declare interest, nilishawahi kumdunda wife mara kama nne hivi katika maisha yangu, na nilimdunda haswa kwa hasira. ilikuwa miaka ya mwanzo ya ndoa, niliona ananipanda hadi kichwani, hivyo kwa miaka miwili hivi ya mwanzo ili tujuane, tulizinguana sana kwasababu alikuwa mbishi halafu kwao inaonekana alikuwa na sauti hadi kwa mzazi wake, hata mamake wakati tumegombana aliniambia nimvumilie kwasababu ana mdomo sana na huwa anapenda awe juu. niliadibisha vya kutosha, akaona sina utani hata tunda katikati silitaki akaona ehee nataka kutafuta mchepuko...akashuka, baadaye tumekuja kusomana na kujuana madhaifu tukashibana, mimi najua kitu gani sitakiwi kumfanyia na yeye anajua mipaka yake kwangu mimi kama mume akivuka tu anajua reaction yake, matokeo yake ndoa imekuwa nzuri ajabu, tuna miaka mingi sasa na tuna watoto wa kutosha, hatugombani tena na ana heshima mno. ila wadogo zake kwangu huwa hawakai alivyo mkali...mkali kweli kwa wengine ila mimi amenifanya kama mfalme...hahahaha.
ukiona kila mtu ametoka kwao na meno salasini na mbili, na pengine mmekulia kabila tofautu tamaduni tofauti, familia tofauti everything tofauti, ujue kuna differences nyingi sana ambazo hadi mje mkubaliane nazo kuishi nazo lazima mkwaruzane, msipokwaruzana hamtakuja kujuana na kushibana. ukiona ndoa hawajawahi hata kutemeana mate iyo ndoa kuna siku itakuja kufa kifo cha mende, ila wale ambao walishagombana na wakashibana na kuishi vizuri huwa hawaachani milele.
Kumpiga Mwanamke hata sio jambo la kujisifia. It meanz unatumua Ubabe. Mapenzi sio Ubabe... Wala si kulazimishana. Kama Mlianza kwa Urafiki, Kisha Uchumba hatimae Mke, huwezi mpiga... Maana kwa kipindi hicho chote mtakuwa mmeshasomana. Siaminu katika kumpiga Mwanamke. My Principles are simple... Nakuelimisha.. Nakukanya, kama hunielewi nakuacha Full stop. Kupiga piga, Unaeza nunua kesi ukapoteza muda mahabusu bila sababu za Msingi, n to alert my Fellow Men, mwanamke kukufunga ni rahisi mno. Tuishi nao kwa Akili.
sishabikii kumpiga, ila inakuja automatic, na watu mkigombana haimaanishi mtagombana siku zote. hiyo ni moja wapo tu ya namna ya kuexpress your feelings kwamba you are fed up. nenda waulize wanawake wote, kati ya kuvubuana na kuachana bora kipi, watakupa jibu. kupigana si kitu kizuri, na ukipiga mke ujue hadi miezi si chini ya mitatu bado kutakuwa na enemity fulani kati yenu unahitaji mda kuisafisha na kurudi katika hali yake. sasa kama mwanamke anakupanda kichwani, Bible yenyewe imeandika wanawake watiini waume zenu yeye hafanyi hivyo na anafanya makusudi akujua utafanya nini....hadi kufikia kudharauliana, hadi mwanaume unachoka nyumba unaanza kurudi saa tano usiku haelewi, mara unakimbilia kwenye mchepuko tu ili uende kupunguza stress...utamfanya nini mwanamke huyo? ukimwacha ni worse than ukimtandika, ukimrudisha kwa wazazi wake haisaidii, na mkiendelea na ugomvi ujue hamtapeana tunda na matokeo yake kila mtu atatafuta mchepuko na kuleta magonjwa, si bora mmalizane mapema mahasira yaishe mtakuja kupatana baadaye ili muishi vizuri...hahaha.Kumpiga Mwanamke hata sio jambo la kujisifia. It meanz unatumua Ubabe. Mapenzi sio Ubabe... Wala si kulazimishana. Kama Mlianza kwa Urafiki, Kisha Uchumba hatimae Mke, huwezi mpiga... Maana kwa kipindi hicho chote mtakuwa mmeshasomana. Siaminu katika kumpiga Mwanamke. My Principles are simple... Nakuelimisha.. Nakukanya, kama hunielewi nakuacha Full stop. Kupiga piga, Unaeza nunua kesi ukapoteza muda mahabusu bila sababu za Msingi, n to alert my Fellow Men, mwanamke kukufunga ni rahisi mno. Tuishi nao kwa Akili.
mwanamke akikosa mwanaume hautakiwi kujishusha, anayetakiwa kujishusha ni mwanamke na si mwanaume. ukiona mwanaume anajishusha kwa mkewe huyo kaolewa au bwabwa. utajishushaje kwa mwanamke, ina maana mwanamke yuko juu yako? we jamaa sijui unaongea nini. wanawake ni wadhaifu sana ukiona amefanikiwa kukupanda kichwani na wewe ukapandika hakika anaweza kufanya madudu ya ajabu hadi utashangaa na atakudharau kwanza. ukiona hauna uwezo wa kumtawala mkeo wewe umeolewa.Ewe mwanaume jishushe hata kama kosa ni lake mwanamke hayo mambo yaishe tu kwa wakati huo. Wanawake by nature ni wakarimu na wapole bali ikifika maeneo hayo hujidai hamnazo. Tunapaswa kuishi na wanawake kwa akili na si kwa mabavu. Jishushe (mwanaume) maisha yaendelee lakini ujue kichwani hapo unakaa na hamnazo so hata ishu zako za muhimu piga kimya kimya usimshirikishe