Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hayo matuta ya miaka 5 pale kihonda.Juzi Kihonda maji yalivuka barabara nikajiuliza miaka yote hapa halii hii sikuwahi kuiona kumbe sasa nimejua sababu.
Kwanini mafuriko yatokee mwaka huu.
Mimi naona Sababu ni Moja
Serikali imepiga marufuku watu wasilime mpunga kwenye bonde la kihindo.
Kama unavyojua ardhi ya kulima mpunga isipotibuliwa tibuliwa ndio Inatwamisha maji kwa kiasi kikubwa. Na kupekekea mafuriko.
Waruhusu watu waendelee na shughuli za kilimo kwenye lilies bonde la mpunga la kihonda otherwise Kila mwaka mafuriko yatatokea tu.