Chanzo cha Mafuriko Morogoro mjini ni tuta la SGR, mamlaka zishughulikie hili

Juzi Kihonda maji yalivuka barabara nikajiuliza miaka yote hapa halii hii sikuwahi kuiona kumbe sasa nimejua sababu.
Hayo matuta ya miaka 5 pale kihonda.

Kwanini mafuriko yatokee mwaka huu.

Mimi naona Sababu ni Moja

Serikali imepiga marufuku watu wasilime mpunga kwenye bonde la kihindo.

Kama unavyojua ardhi ya kulima mpunga isipotibuliwa tibuliwa ndio Inatwamisha maji kwa kiasi kikubwa. Na kupekekea mafuriko.

Waruhusu watu waendelee na shughuli za kilimo kwenye lilies bonde la mpunga la kihonda otherwise Kila mwaka mafuriko yatatokea tu.
 
Walipaswa kuweka nguzo tu kama za buguruni to posta.

Pia ingesaidia

Lakini pia sio kama tuta ni tatizo sababu hata hapo lilipopita Wala sio sehemu kubwa sana na Kuna outlet kubwa sana.

Hapa yawezekana

Mindu imekaa sana au kupika marufuku kilimo Cha mpunga kwenye like bonde n. K
 
Siyo huko tu, maeneo mengi hilo tuta limebadili mkondo wa maji wa awali sema kwingine athari haijafikia kiwango cha kuwa mafuriko ila limeleta adha kubwa.
Nyie mnaona hayo tu mimi siwezi kumtembelea mchumba wangu kwao kwani uzio umewekwa tusitambuke reli, nikitaka niende inabidi nizunguruke kilomita kumi na tano kwenda na kumi na tano kurudi, masikini cheupe wangu mtoto wa kiluguru SGR imetutenganisha Mungu anawaona hao Waturuki..
 
Kuna Maafa makubwa yanakuja au yameshakuja hasa Jumamosi kuamkia Jumapili? Waambie hao Wanaoficha kuwa tunajua wa Kawaida kama 30 na wale wenye Dege lao Bovu la Mafunzo 13 waliokuwa katika Uokoaji hatunao tena Ulimwenguni.
Genta unaweza kufunguka zaidi maana hii habari nyeti!
 
Kuna Maafa makubwa yanakuja au yameshakuja hasa Jumamosi kuamkia Jumapili? Waambie hao Wanaoficha kuwa tunajua wa Kawaida kama 30 na wale wenye Dege lao Bovu la Mafunzo 13 waliokuwa katika Uokoaji hatunao tena Ulimwenguni.
Nonesense
 
Sio Morogoro pekee.
Mwaka jana nilipita barabara ya Tabora- Manyoni kuna mabonde mengi mikondo ya maji imezibwa kwa sgr kuinuliwa na wanaweka karavati ndogo sana.

Miundombinu ya SRG italeta maafa mengi sana
 
Naskia na watu washa tangulia pale mbuyuni na mitaa ya tetebeach
 
Afu Kuna mtu hapo juu anasema matatu yanagharimu mno kuliko nguzo lakini wao wameweka tuta labda ni mara sana,lakini hao hao wanaotujengea kwao Huwa wanaweka zaidi nguzo kuliko matuta.
 
Kumbe inaweza kuwa ni hivyo
 
Unasumbuliwa na uraibu. Hivi huyo jiwe angeangalia hadi kina na upana qa nguzo? Aangalie saizi za kokoto.

Aibu
 
Nakupendea hapo tuu unapomsagia kunguni fascist Jiwe.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Mm nasemaje wabunge wa ccm mwakani kazi mnayo,rais yeye ameshajihakikishia point tatu muhimu lazima apite
 
Ukijaza TUTA au KIFUSI unalipwa pesa kubwa zaidi kuliko kuweka NGUZO kama unavyoshauri, hawa watu walikua wanawaza kupiga hela zaidi kuliko usalama wa watu, umesema ukweli
Ohoo! Ni kweli? Mimi nikajua nguzo ni gharama kuliko tuta!
 
Mimi mmoja kati ya wahanga wa ayo mafuriko kikweli imekua kelo kubwa kwa wakazi wa kihonda manyuki tumepoteza watoto na watu tunawowapenda hii leli selikali imekaaa kimya kama akuna kitu kilicho tokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…