Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Naona mkuu wetu wa nchi anatoa mamilioni ya fedha, mara knockout ya mama, mama goli la mama, mara achangie milioni kadhaa mfano juzi katoa kuchangia mili9ni 50 KKKT na si mara moja tunaona akichangia hayo mamilioni.
Kiujumla ni jambo zuri kuonesha hamasa ya kuunga mkono, sasa je kipato chake ni Tsh ngapi kuweza kumudu hayo ?
Je anajishughulisha na biashara zipi kiasi kwamba kuchangia milioni 50, 100 si jambo kubwa kwake na kununua magoli kwake ni jambo dogo.