Chanzo cha mauaji ya Tupac Shakur na Biggie Smalls

Chanzo cha mauaji ya Tupac Shakur na Biggie Smalls

Ni jana tu nilikuwa naangalia documentary ya Tupac na Biggie,kusema ukweli mpaka mwisho nilivyomaliza kuangalia hiyo documentary nimeconclude kutokana na evidence mbalimbali ambazo muandaaji alizi present kuwa muuaji wa tupac na biggie ni Suge knight pekee...Kwanza kisa hasa cha kuuwawa Tupac ni wazo lake la kuondoka death row records,ambao mpaka muda anaondoka alikuwa anawadai dola mil 10, na alitaka pia kuchukua nyimbo zake ambazo alikuwa tayari amekwisha zirekodi. Pili Hata kifo cha Tupac utaona Suge knight alikipanga, kwa kawaida 2pac huwa na mabodigadi wawili,lakini mmoja alipewa likizo fupi,na wa pili mpaka siku ya tukio aliambiwa aache bunduki yake, tatu kile kisa kilichotokea cha mtu kupigwa na kina tupac walipokuwa wanatoka kuangalia pambano la mike Tyson ni kuwa kuna watu waliambiwa waseme wamwambie tupac kuwa kuna jamaa alishiriki kukupora cheni yako,ambae huyo jamaa yupo kundi la creeps,ili ionekane kuuwawa kwa tupac ni retaliation ya creeps baada ya member wao kupigwa na kudhalilishwa na 2pac.Ukiangalia mtu aliekuwa nyuma ya yote haya ni Suge Knight.Ukija upande wa Big,sio kweli kwamba big alikuwa anamchukia tupac na walikuwa wana beef..huo ni uongo kabisa,na zilikuwa propaganda tu za C.I.A na FBI ambao walikuwa na ajenda zao. Muuaji wa Biggie ni Suge knight,ambae alimpa kazi hiyo Harry Billups a.k.a Amir Muhammad,huyu jamaa wamekuwa wote na Suge knight mtaa mmoja na kwenye documentary hiyo Lil Cease na aliekuwa bodigadi wa Big walimuona siku ya tukio..Ukiangalia documentary hiyo biggie hakuwa ana kinyongo na 2pac kwasababu alikuwa anamjua kichwa moto,na hata ile mara ya kwanza tupac alipigwa risasi 5,biggie alienda kumsalimia hospital na akaongea na baba yake tupac...Unaweza ipakua hii documentary kupitia utorrent ambapo muongozaji amejitahidi sana kuchimba mambo.Peace
Mkuu plz nisaidie jina LA hiyo documentary nidownload saiv,nmependa ulivoelezea kidogo hapo juu.
 
Neno tupac shakur alilipewa na mlatino likimaanisha the rising serpent(JOKA LILILOTOKEZA).
Kiistoria biggie na pac waliishi kitaa huko brooklyn new york na baadae kila mmoja alijiweka ktk west side na east side ambayo ni kina pdidy.
ukiskiliza miziki ya tupac alikuwa akikosoa sana iluminati(masonic)hasa ktk album don kiluminati hvyo alikuwa mrengo wa kushoto na hii society hata jayz alitukanwa sana na pac akimwambia hakuwa na nyota ya kimuziki ndo mana akajiunga na iluminati.
Tupac alikuwa n maadui wengi kwa kuwa hakuwa mnafiki alikuwa anakuchana bila kujali we nani.
Kifo chake ni utata ila sio big alihusika ingawa didy ndo alimuua big ktk maslahi ya lebo ya badboy.ila walimuua kiuhalisia ni FBI
 
mi ninachodhani ni kuwa 2pac amekufa kitambo, kama angekua hai bs sidhani kama angekosa kuhudhuria mazishi ya mama yake mzazi.
 
Watz bwana, hamna kazi ya kufanya au????
wenyewe USA wameshamove on nyie bado tuuu, wengine hata hamjui mnachoandika mnakuja na story za mitaani, kwani wao ndio wa kwanza kufa. Kwa taarifa US kila siku wanauwana kama kuku marapa, wanamichezo nk nk na hamna mtu anajali so invest muda wenu kamsaidia Mr Magu.
 
Shakur is arabic for the thankfull on!
 
Watz bwana, hamna kazi ya kufanya au????
wenyewe USA wameshamove on nyie bado tuuu, wengine hata hamjui mnachoandika mnakuja na story za mitaani, kwani wao ndio wa kwanza kufa. Kwa taarifa US kila siku wanauwana kama kuku marapa, wanamichezo nk nk na hamna mtu anajali so invest muda wenu kamsaidia Mr Magu.
kwa sababu tunawapenda mkuu. hii ni love ndo maana tunataka kujua ukweli wa mambo.
 
mi ninachodhani ni kuwa 2pac amekufa kitambo, kama angekua hai bs sidhani kama angekosa kuhudhuria mazishi ya mama yake mzazi.
mkuu ni kweli alikua anampenda sana ukisikiliza dear mama utaamini ila ataweza ata akabadilisha sura si unajua mambo ya plastic surgery tena!
 
Back
Top Bottom