Chanzo cha mauaji ya Tupac Shakur na Biggie Smalls

mkuu uko deep sana hongera kumbe jamaa. alikua anti masonic?? inaelekea wengi wanahusika katika kifo chake ila nkisikiliza zile nyimbo za hiem em up na who shot ya ya biggie napata picha ya mbali sana
 
Ebo!! mimi nimeingia nikijua ndio una shusha kapu kumbe huna lolote unge wauliza basi wakuambie ndio utuite,dah!
 
mkuu embu endelea kusimulia,ila napatamani zaidi hapo kwenfe FBI na CIA
 
mkuu unamaanisha kaburi la tupac halifahamiki lilipo??
 
so,unamaanisha didy alitumia fbi kumuua biggy,,na fbi wakakubali,,,AU unamaana gani mkuu
 
Asante kwa majibu ambayo ni faida kwa wengi ambao hatukuelewa chanzo, ila hawa waliotoa majibu ya kukera sio vizuri na wala si lazima kila mada uchangie kama hujui soma pita kimya, hii sehemu ina watu wazima sidhani kama kuna watoto humu na kama wapo watakuwa wamekosea jukwaa, tuelimishane kwa upole.
 
mkuu nashukuru sana kwa maelezo safi ila najua bigie na pac walikua hawapatani ukisikiliza wimbk wa pac hit em up utanielewa nachomanisha mkuu asante.
Hiz beef za kutengenezw pac walimtngenez aone Not- Bigg ndo mzinguaj wake
 
Unajua mchizi alikuwa anazungumzia sana hii ishu hata kuony watu . kuna ngoma yak inaitwa Killuminat
Kun interview moja alikuwa akizungumzia kuwa kuna watu they tryin to keep on Eye on You...........
Alikuwa introduced kwenye hiii ishu bt alikuwa ana hasi
 
Kwny Siasa zetu huenda nako tunaelekea huku soon Allah atuepushe!
Kwani siasa hilo litakua jipya Mkuu ? Vipi Sokoine ama Chacha Wangwe ,vipi kina Mvungi na Mgimwa na na Prof Juan ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…