Chanzo cha mauaji ya Tupac Shakur na Biggie Smalls

Ww ndo unaleta vya kusadikika!! Ukiabudu shetani ndo hutakufa?? na ushahid wa kwamba alikua anaabudu shetan uko wapi, The truth ni kwamba alikufa kwa kupigwa risas....the reasons and the man behind the killing ndo bado havifahamiki!!!
 
Mi nashangaa hadithi za vijiweni tu.

Kwanini umeniita hilo jina, kiongozi? Ni kati ya watu nisiowakubali hata chembe.
Mkuu naomba usinidhalilishe kwa kuita nilichoeleza hapa story za vijiweni,mimi sio kijana wa kijiweni,na moja ya source yangu ninayokuambia ni documentary ambayo utorrent wameturahisishia maisha kwa kutuwekea,inaitwa Biggie and Tupac(Documentary).Humo Ms.Wallace mama yake biggie ameongea Zaidi ya mara 5,lil cease aliekuwa na biggie siku anauawa na alikuwa amekaa siti ya nyuma katika gari alikuwemo biggie ameongea,baba yake 2pac ameongea,bodigadi wote wawili waliokuwa wanamlinda tupac wameongea(mmoja ndo alikuwa nae siku anauawa),bodigadi wa biggie aliekuwa nae siku anauwa ameongea,police aliekuwa anainvestigate hiyo case ameongea(huyu aliamua kuacha kazi baada ya kuzuiliwa na LAPD asiendelee na uchunguzi)ameongea,sasa wewe sijui ni nani kukataa maelezo yao yote hayo tukusikilize wewe!Kama unabisha idownload uiangalie sasa hivi ina MB 698 tu..Wewe ndo unataka kutuletea story zako za kijiweni za kijinga..
 
mkuu embu endelea kusimulia,ila napatamani zaidi hapo kwenfe FBI na CIA
Infact ishu ya FBI iliongelewa hata na Ms. Wallace na anataka kujua kwanini FBI walionekana pale siku ya tukio la kifo cha Biggie na hawakuchukua hatua yoyote,pia kwanini walikuwa wanamfatafata sana mwanae,lakini pia muongozaji wa hiyo documentary alipomtafuta huyo askari wa FBI ambae katika zile picha zilipigwa katika lile tamasha ambalo biggie alihudhuria alionekana anamfatilia biggie,alikataa kutoa ushirikiano kwa muongoza documentary mpaka amwambie namba yake ya simu amepewa na nani..Tukirudi kwenye suala lako,nafikiri high profile people especially wale amabao ni ma black wamekuwa wakiandamwa na CIA na FBI kwasababu wanaonekana ni tishio kwa ushawishi walionao kwa jamii ya watu weusi..Martin Luther King Jr alikuwa muhanga wa hawa watu,Malcom x,Tupac na Biggie pia.Kikubwa ni kwamba kuna ubaguzi mkubwa wa rangi,na viongozi wa juu wa mashirika haya wanataka kumaintain white supremacy...na njia wanayoitumia ni divide and rule,wanawagawanya watu weusi na hata kuchochea migogoro kati ya wao kwa wao kwa kutumia vyombo vya habari wanavyomiliki na propaganda chafu mpaka mwisho watu weusi wanauana wao kwa wao,mfano mzuri ni Malcom X walivyomgombanisha na Elijah Muhammad aliekuwa kiongozi wa Nation of Islam mpaka kupelekea wafuasi wa Nation of Islam kumuua Malcom x.Mimi ninafikiri kuna agenda ya kuhakikisha watu weusi hawakomboleki na White Supremacy inaendelea kutawala.Katika hili sakata la biggie na 2pac main role ya FBI n CIA wamekuwa ni catalyst ya kuchochea mgogoro huku wao wakiwa wamekaa pembeni.
 
shukrani mkuu na nimekusoma sana,,,na didy kuhusishwa na mauji ya biggie imekaaje
 
shukrani mkuu na nimekusoma sana,,,na didy kuhusishwa na mauji ya biggie imekaaje
P.Diddy hawezi kumuua biggie,alikuwa msela wake wa ukweli,pia Biggie akiwa hai ni faida Zaidi kwa P.Diddy kuliko akiwa amekufa...Halaf hana hulka ya kibabe kama suge knight ambae alikuwa ana ubabe wa kijinga,ndo maana hata Dre aliondoka Death Row kwasababu ya ubabe wa kijinga wa Suge Knight, Tafuta movie ya Dre ya Straight from Compton uone ubabe wa suge knight.
 
Umeona eh Mkuu? Yaani mi sina mbavu kwa kucheka!
yasiokuhusu achana nayo we pita pembeni mimi sijui ndo maana nauliza?? inshort mimi mjinga sasa wewe unaeringa potelea mbali acha nielimishwe punda wewe.
 
mkuu nashukuru sana kuna baadhi ya vitu nilikua sivielewi nimxevielewa pia nimepata mengine mageni asante.
 
Ww ndo unaleta vya kusadikika!! Ukiabudu shetani ndo hutakufa?? na ushahid wa kwamba alikua anaabudu shetan uko wapi, The truth ni kwamba alikufa kwa kupigwa risas....the reasons and the man behind the killing ndo bado havifahamiki!!!
ok asante me nipo darasani najifunza usinicheke nipe info zaid achana na hawa wanaoleta dharau wanajiona wajanja sana wakati na wao walitokra huku.
 
Nimeshindwa kabisa kabisa.
unajua nini we usijikute wala nini kama vipi uzi umeona wa kiboya we ungekaa kimy na sio kutujazia maneno. acha si wajinga tujifunze na we ambae unaju hata usichangie kalale na mkeo tuachie yetu mbona unakua kama hujaota mavu..zi povu la nini umeona uzi wa kisha ujui uanzie wapi basi ondoka maana siku nyingine jicho litapotea hivi hivi maana sisi hatutanii sitaki swaga za kike we kama vipi kaimbe taarabu. damn what a sh*it!
 
mkuu suge knight anatajwa sana kwenye mauaji ya watu hawa wawili,,,,naomba nimfahamu angalu kidogo na uhusiano wake na fbi katika sakata hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…