Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Hawana uhusiano wowote,labda alitumiwa bila kujua,kitu ambacho watu wa intelijensia wako vizuri katika kufanya,wanavujisha taarifa kwako ambazo zitakufanya ureact.Katika mauaji hayo suge alitumia askari wa LAPD ambae ni Harry Billups...ambae kumbe ni member mwenzake kwenye kundi la kihalfu la Blood.Uamuzi wa kumuua biggie inasemekana alifanya ili ionekane kifo cha 2pac kilitokana na bifu ya east coast -west coast, na si yeye aliehusika.mkuu suge knight anatajwa sana kwenye mauaji ya watu hawa wawili,,,,naomba nimfahamu angalu kidogo na uhusiano wake na fbi katika sakata hili.
asante mkuu,asante kwa mda wako natumai nitaendelea kujua mengi humuHawana uhusiano wowote,labda alitumiwa bila kujua,kitu ambacho watu wa intelijensia wako vizuri katika kufanya,wanavujisha taarifa kwako ambazo zitakufanya ureact.Katika mauaji hayo suge alitumia askari wa LAPD ambae ni Harry Billups...ambae kumbe ni member mwenzake kwenye kundi la kihalfu la Blood.Uamuzi wa kumuua biggie inasemekana alifanya ili ionekane kifo cha 2pac kilitokana na bifu ya east coast -west coast, na si yeye aliehusika.
Mkuu naomba usinidhalilishe kwa kuita nilichoeleza hapa story za vijiweni,mimi sio kijana wa kijiweni,na moja ya source yangu ninayokuambia ni documentary ambayo utorrent wameturahisishia maisha kwa kutuwekea,inaitwa Biggie and Tupac(Documentary).Humo Ms.Wallace mama yake biggie ameongea Zaidi ya mara 5,lil cease aliekuwa na biggie siku anauawa na alikuwa amekaa siti ya nyuma katika gari alikuwemo biggie ameongea,baba yake 2pac ameongea,bodigadi wote wawili waliokuwa wanamlinda tupac wameongea(mmoja ndo alikuwa nae siku anauawa),bodigadi wa biggie aliekuwa nae siku anauwa ameongea,police aliekuwa anainvestigate hiyo case ameongea(huyu aliamua kuacha kazi baada ya kuzuiliwa na LAPD asiendelee na uchunguzi)ameongea,sasa wewe sijui ni nani kukataa maelezo yao yote hayo tukusikilize wewe!Kama unabisha idownload uiangalie sasa hivi ina MB 698 tu..Wewe ndo unataka kutuletea story zako za kijiweni za kijinga..
Ipo..icheki..inaitwa Biggie and Tupac(2002) Chill.Peace!Relax babaa, umepanick.
First and foremost, sijui umetoa wapi kwamba nakuzungumzia wewe. But anyway, ni fresh tu.
Nimeangalia documentaries zote zinazomuhusu Tupac, ila sijawahi kukutana na inayoitwa "Tupac and Biggie", na inayotaja uliyoelezea. Ila kama ulivyosema, mi ni nani kubisha, right?
So, endelea tu. Won't kill your vibe.
[emoji38] [emoji5] [emoji5]Tupac hajafa. Nipo nae hapa.
yasiokuhusu achana nayo we pita pembeni mimi sijui ndo maana nauliza?? inshort mimi mjinga sasa wewe unaeringa potelea mbali acha nielimishwe punda wewe.
dharau nyingi, sisi hapa tunaitafuta elimu sasa nyie hamtak kutuelimishaMkuu acha kupaniki. Mi sikucheki wewe, nacheka hizo theory zinazoletwa humu kuhusu vifo vya hao watu.
Salute, sio ao watu uko juu mtu anauliza wao badala ya kujibu wanamjibu ovyo.Ni jana tu nilikuwa naangalia documentary ya Tupac na Biggie,kusema ukweli mpaka mwisho nilivyomaliza kuangalia hiyo documentary nimeconclude kutokana na evidence mbalimbali ambazo muandaaji alizi present kuwa muuaji wa tupac na biggie ni Suge knight pekee...Kwanza kisa hasa cha kuuwawa Tupac ni wazo lake la kuondoka death row records,ambao mpaka muda anaondoka alikuwa anawadai dola mil 10, na alitaka pia kuchukua nyimbo zake ambazo alikuwa tayari amekwisha zirekodi. Pili Hata kifo cha Tupac utaona Suge knight alikipanga, kwa kawaida 2pac huwa na mabodigadi wawili,lakini mmoja alipewa likizo fupi,na wa pili mpaka siku ya tukio aliambiwa aache bunduki yake, tatu kile kisa kilichotokea cha mtu kupigwa na kina tupac walipokuwa wanatoka kuangalia pambano la mike Tyson ni kuwa kuna watu waliambiwa waseme wamwambie tupac kuwa kuna jamaa alishiriki kukupora cheni yako,ambae huyo jamaa yupo kundi la creeps,ili ionekane kuuwawa kwa tupac ni retaliation ya creeps baada ya member wao kupigwa na kudhalilishwa na 2pac.Ukiangalia mtu aliekuwa nyuma ya yote haya ni Suge Knight.Ukija upande wa Big,sio kweli kwamba big alikuwa anamchukia tupac na walikuwa wana beef..huo ni uongo kabisa,na zilikuwa propaganda tu za C.I.A na FBI ambao walikuwa na ajenda zao. Muuaji wa Biggie ni Suge knight,ambae alimpa kazi hiyo Harry Billups a.k.a Amir Muhammad,huyu jamaa wamekuwa wote na Suge knight mtaa mmoja na kwenye documentary hiyo Lil Cease na aliekuwa bodigadi wa Big walimuona siku ya tukio..Ukiangalia documentary hiyo biggie hakuwa ana kinyongo na 2pac kwasababu alikuwa anamjua kichwa moto,na hata ile mara ya kwanza tupac alipigwa risasi 5,biggie alienda kumsalimia hospital na akaongea na baba yake tupac...Unaweza ipakua hii documentary kupitia utorrent ambapo muongozaji amejitahidi sana kuchimba mambo.Peace
Funguka bruh, maana me mweyewe uwa natamani sana kujua ila nasikia tu story nyingi ambazo uwa nashindwa kujua ipi ni ya ukweli ipi ni ya uongo.Wabongo tunatisha sana. Sijawahi kushindwa kuongea kwenye issue yoyote inayomuhusu Tupac, ila hapa nimeshindwa hata nianzie wapi.
Funguka bruh, maana me mweyewe uwa natamani sana kujua ila nasikia tu story nyingi ambazo uwa nashindwa kujua ipi ni ya ukweli ipi ni ya uongo.
Tupeane ukweli kuhusu vifo vya hawa manguli wa hip hop walijipatia umaarufu wa kipejee katika historia ya hip hop, hawa walikua marafiki ila baadae walitofautiana na kuwa maadui wakubwa kabisa pia inasemekana kama diddy na suge wanaujua ukweli ila hawasemi
sina pesa za kwenda markani.Sasa ww mtafute didy mm ntamtafuta suge knight alaf tutaunganisha hadith
kwa kweli mkuu nimeskia sana haya mambo kwa kijana 2pac nikisoma ile 7day theory nawaza mbali sanahawa vijana walisha jiingiza kwenye kale ka chama ka siri.
Na yawezekana walikiuka masharti ya chama chao, shetani hana rafiki.
Na kundi kubwa la wanamuziki duniani na filamu ni wanajumuia ya siri.
Ndiyo maana wana haribu sana jamii, ni uchafu mtupu, mtu unakuta anaimba chura, jiulize unaujumbe gani zaidi ya kuwaingizia watu mapepo ya uzinzi?
Poleni sana walaji wa maajenti hawa, mnaimbishwa na kumchezea shetani bila kujijua.