Chanzo cha mgogoro kati ya Rais Trump na Elon Musk

Ndugu Elias Msuya wa gazeti la Mwananchi, nimekupata vema. Naomba nikuhakikishie kuwa Trump ni CHIZI. Mtu yeyote akiamua kushirikiana na chizi, anakuwa amejilipua vibaya sana. Mwache Musk avune alichopanda. Aliamua kupanda mazao kwenye ardhi ya chizi, sasa itabidi avune kabla hata mazao hayajakomaa.
 
Elon kaanza kutoa siri za Trump.Moja ni Trump alikuwa kwenye list ya Epstein. IMAGINE ELON KAONDOKA NA SIRI NGAPI KUTOKA KWENYE COMPUTER ZA IKULU. ELON KAMA MANGE TU.
Kama Trump anamfukuza Musk kibwege hivi, basi amrudishie pesa alizomsaidia kwenye uchaguzi; aache ujinga wake.
 
Ujue hawa makaburu akiri zao ni za kiafrika, kwaiyo kama kamsaidia alitaka apate fadhila
Hilo liko wazi. Ukimsadia mwanasiasa kupaa kisiasa lazima alipe fadhila. Huoni hata hapa kwetu inavyokuwa mkuu?
 
Washenzi wawili hao acha wavurugane!!
 
Lilikuwa ni swala la mda wangeanza kutofautiana, mafahali wawili hawakai zizi moja
 
Nakumbuka shujaa Magufuli alisema wakati wa kampeni za urais 2015 bilionea Mengi alimfuata na kutaka kumsaidia fedha za kampeni lakini shujaa akazikataa

Hii vita ya Rais Trump na Chawa wake Elon Musk ndio imenikumbusha Ujasiri wa Shujaa

Ahsanteni sana 😁🇹🇿
 
The Communist Party of China has the best manual on how to clip wings of loud billionaires. Jack Ma, went berserk and got inoculated.

He's been a good boy ever since 😁​
 
Elon kaanza kutoa siri za Trump.Moja ni Trump alikuwa kwenye list ya Epstein. IMAGINE ELON KAONDOKA NA SIRI NGAPI KUTOKA KWENYE COMPUTER ZA IKULU. ELON KAMA MANGE TU.
😂😂😂😂
 
Kuna jamaa ambaye alikuja jiua anaitwa Jeffrey Epstein alikuwa ana makesi kibao ya kuwaingilia kingono watoto wadogo na baadhi ya watu wake wa karibu wakati wa uhai wake ni pamoja na Donald Trump na wengine wengi.

Sasa kuna mafaili ya uchunguzi wa FBI wa kesi zake jamaa, ndio inahisiwa Trump nae yumo.
Samahani....hivyo hiyo list ya Epstein inahusiana na nini?

Epstein ni nini? Ebu tufafanulieni, toka jana uko X naona hilo neno
 
Duh
 
Elon kaanza kutoa siri za Trump.Moja ni Trump alikuwa kwenye list ya Epstein. IMAGINE ELON KAONDOKA NA SIRI NGAPI KUTOKA KWENYE COMPUTER ZA IKULU. ELON KAMA MANGE TU.
Hapo ndipo Trump lazima apasuke kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…