JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 9,120
- 9,727
Alikutwa amejinyonga gerezani mwaka 2019. Alikuwa gerezani kwa makosa ya ngono kwa watoto. Ingawa wengine wana wasiwasi aliuawa ili ukweli ufichwe wa wahusika wengine maarufu.Alijiua lini? Na Kwanini alijiua?