Chanzo cha mgogoro kati ya Rais Trump na Elon Musk

Alijiua lini? Na Kwanini alijiua?
Alikutwa amejinyonga gerezani mwaka 2019. Alikuwa gerezani kwa makosa ya ngono kwa watoto. Ingawa wengine wana wasiwasi aliuawa ili ukweli ufichwe wa wahusika wengine maarufu.
 
Mlengo wa kushoto wawakilishi wake Kamala na Biden walikuwa hawatakiwi na wananchi kwa hiyo hata angekuwa upande wao wasingeshinda alisoma upepo
 
Bw Cyril Ramaphosa na weusi wenzetu wanacheza Ampiona kwa vishindo!

Makaburi waliokataa mwaliko wajanja! Washakuwa Waafrika wenzetu!
 
Elon Ni Mjinga tu kisa alipiga piga Kampeni Anahisi Yeye ndio amemuweka Trump madarakani Kitu ambacho ni Ujinga kuwaza ivo
ana Overconfidence anasahau Trump ni Rais
Jana Trump amemchana Kuwa America haitegemei Mtu yoyote yule kusimama
 
Elon kaanza kutoa siri za Trump.Moja ni Trump alikuwa kwenye list ya Epstein. IMAGINE ELON KAONDOKA NA SIRI NGAPI KUTOKA KWENYE COMPUTER ZA IKULU. ELON KAMA MANGE TU.
Bora wamekosana Ili waanikane vizuri...hawa wawili wameleta janga kwa dunia kwa muda mfupi kwa kigezo cha kubana matumizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…