@Suelsmael, Chesi20,
Nadhani wanasiasa wa Tz wana mengi ya kujifunza toka kwa John Mccain.
Angalieni hapa chini jinsi Mccain alivyokataa kum-demonize mpinzani wake.
Tunaweza kuwa na sheria nzuri ajabu, lakini kama hatuna watu ambao ni decent ktk siasa zetu basi ni kazi bure.
Watanzania kwa bahati mbaya tangu miaka ya 60 na 70 tulifundishwa kufanya siasa mbaya, na kizazi cha sasa kinaendeleza, na kuvuna kilichopandwa tangu zamani.