Chanzo cha Migogoro Endelevu ya Kisiasa Nchini Tanzania

Chanzo cha Migogoro Endelevu ya Kisiasa Nchini Tanzania

Mfumo wa vyama vingi wala hauna madhara wenye madhara ni wanasiasa wasio na akili timamu kama hawa wanaotuongoza.
 
Ugomvi kwenye nchi zetu wala siyo mfumo wa vyama vingi tatizo ni utajiri wa raslimali zetu ambao ni kichocheo cha nchi za nje kugombanisha ili zirudi kuvuna. That is all.
You are wrong. What have we apart from "madafu na korosho"? The problem is: We are running a multiparty system under a one party constitution.
 
Kama ww unakijua nilichokiandika, basi andika mtazamo wako hapa badala ya hayo uliyoyaandika.

Nijibu hili swali kwanza

Hivi uliwahi kuishi kwenye mfumo wa chama kimoja ??
 
Nijibu hili swali kwanza

Hivi uliwahi kuishi kwenye mfumo wa chama kimoja ??
Jibu kwanza maswali niliyouliza kwenye mada husika, ukimaliza kunijibu, nitakujibu maswali uliyoniuliza.
 
Jibu kwanza maswali niliyouliza kwenye mada husika, ukimaliza kunijibu, nitakujibu maswali uliyoniuliza.
Nilitangulia kukuuliza , kama ulinijibu swali langu hayo yote yasingalifika hapa
 
Back
Top Bottom