Chanzo cha mto Nile kingekuwa Uarabuni au Ulaya na kuishia Afrika, tungetozwa kodi ya maji

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Kwa jinsi wenzetu wanavyojipenda na kututazama kwa dharau, naamini kama chanzo cha Mto Nile kingekuwa Misri, basi hali ingekuwa tofauti kabisa.

Waafrika wa chini ambao mto huo unapita wangekuwa mateka wa masharti yao.

Kwa sababu ya tamaa, ubaguzi na roho mbaya, bila shaka tungetozwa kodi ya maji au hata kutawaliwa.

Yote kwa sababu tungetegemea maji yanayotoka kwao
 
Mwenye nguvu mwite power. Wababe wote wanakatia maji wanyonge. Maji ni kitu cha thamani sana. Ni wazembe tu kama Tz ndiyo hatuyatumii maji mengi tuliyobarikiwa
 
Mungu mjanja mno—na sisi pia tungekuwa Ulaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…