Chanzo cha Sallam SK kujitoa WCB

Chanzo cha Sallam SK kujitoa WCB

Broadcast

Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
76
Reaction score
285
Chanzo kikuu kilichomuanoda Mendez Salam SK wcb ni hiki shuka na mimi

Mendez kama meneja alimshauri boss wake Diamond kwenye relationship status hawez kuwa na Zuchu
Maana hana mvuto kibiashara ukilinganisha Zari, Wema na Hamisa

Lakini Diamond aligeuka mbogo wakazinguana sana...lkn kwakuwa Mendez ni mzungu wa roho akaamua kujiondoa kimyakimya na kufanya njia za kwenda Konde Gang
 
Chanzo kikuu kilichomuanoda mendez salam k wcb ni hiki shuka na mimi

Mendez kama meneja alimshauri boss wake diamond kwenye relationship status hawez kua na zuchu
Maana hana mvuto kibiashara ukilinganisha zari wema na hamisa

Lakn diamond aligeuka mbogo wakazinguana sanaa...lkn kwakua mendez ni mzungu wa roho akaamua kujiondoa kimyakimya na kufnya njia za kwenda Konde gang
Umbea wakosaji hawana content
 
Jana kapost show ya diamond na Zuchu , au anamanage wote na kondegang
 
Chanzo kikuu kilichomuanoda mendez salam k wcb ni hiki shuka na mimi

Mendez kama meneja alimshauri boss wake diamond kwenye relationship status hawez kua na zuchu
Maana hana mvuto kibiashara ukilinganisha zari wema na hamisa

Lakn diamond aligeuka mbogo wakazinguana sanaa...lkn kwakua mendez ni mzungu wa roho akaamua kujiondoa kimyakimya na kufnya njia za kwenda Konde gang
Nani alikuambia?
 
Mond alikosea alivyojihusisha hamissa Kwa SABABU zari kitambo Yuko fresh ila all in all huyo sallam sk kama ndio ishu iyo kazingua unaingiliaje mapenzi ya bossd....ALL IN ALL BONGO WATU WANAISHI KWA DRAMA SANA SIO WASANII ATA WANASIASA PIA SIJUI TUNAKWAMA WAPI😲
 
Chanzo kikuu kilichomuanoda mendez salam k wcb ni hiki shuka na mimi

Mendez kama meneja alimshauri boss wake diamond kwenye relationship status hawez kua na zuchu
Maana hana mvuto kibiashara ukilinganisha zari wema na hamisa

Lakn diamond aligeuka mbogo wakazinguana sanaa...lkn kwakua mendez ni mzungu wa roho akaamua kujiondoa kimyakimya na kufnya njia za kwenda Konde gang
Mbona Sallam anapost event ya show ya Zuchu na Diamond ya tarehe 31 Dec siku zote mbona mnakuwa wazushi.

Halafu na kumbuka Sallam wakati akihojiwa na Salama Jabir aloshasema yy hato ingilia mapenzi ya Diamond kwani aliingilia kipindi cha Zari na Zari akamuona mbaya. Tokea siku hiyo akasema yy hato ingilia maswala ya mapenzi ya Diamond atabase na nafasi yake ya umeneja.
 
Chanzo kikuu kilichomuanoda mendez salam k wcb ni hiki shuka na mimi

Mendez kama meneja alimshauri boss wake diamond kwenye relationship status hawez kua na zuchu
Maana hana mvuto kibiashara ukilinganisha zari wema na hamisa

Lakn diamond aligeuka mbogo wakazinguana sanaa...lkn kwakua mendez ni mzungu wa roho akaamua kujiondoa kimyakimya na kufnya njia za kwenda Konde gang
Siamini kama ndiyo sababu.
Hakuna mtu mjinga wa hivyo aache deal na connection alizozitengeneza kwa zaidi ya miaka 8 kisa utamu wa jamaa tu.
Kutakuwa na sababu nyingine na s.k anavyojua pesa hawezi kuua conncetion yake kijinga hivyo.
Uzuri yeye anasemaga yeye ushikaji wake na mtu ni pesa kama kweli anaenda konde, basi ashaachana na bifu coz anaona wanaweza kutengeneza pesa
 
Back
Top Bottom