mludego
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,597
- 3,565
sinza pazuri njoo uthibitishe maana hii drama bila uwepo wako ni batili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo nawewe unaamini sallam katoka wcb?Mond alikosea alivyojihusisha hamissa Kwa SABABU zari kitambo Yuko fresh ila all in all huyo sallam sk kama ndio ishu iyo kazingua unaingiliaje mapenzi ya bossd....ALL IN ALL BONGO WATU WANAISHI KWA DRAMA SANA SIO WASANII ATA WANASIASA PIA SIJUI TUNAKWAMA WAPI😲
Sasa Diamond mnamuona mshamba kila siku aangaike na Wazee wakati kazuchu kapo hakahajaribiwa?
Mama yako alimiliki ipi?Nyumba zote za kariakoo zilitokana na wanawake wa pwani kuwachuna wanaume wa bara waliokuwa makuli bandarini na wapagazi yaani wabeba kariakoo na nk.Miaka ya kuanzia 60,ilikuwa ukinaswa kwenye kiuno cha pwani kilichokula unyago ( kufundishwa ngono) na umetoka bara uchomoki.
Katoto ka uswahilini kale, we bi mkubwa wake si unamuona, ukute jamaa kuna vitu anapewa sio poa,jamaa huenda kaamua kutulia zake tu, maana hakuna jipya kwa matobo aliyochungulia sidhani kama yote yamezidiwa utundu na zuchu.. ila kuna mda mtu unaamua zako tu kutulia
Sallam Mendez bado yupo WCB.sinza pazuri njoo uthibitishe maana hii drama bila uwepo wako ni batili
Na inawezekana alipownda kwa Konde Gang ndio akamshauri aachane na Kajala kwakuwa hana mvuto wa kibiashara! Ahahahahah!!!Chanzo kikuu kilichomuanoda mendez salam k wcb ni hiki shuka na mimi
Mendez kama meneja alimshauri boss wake diamond kwenye relationship status hawez kua na zuchu
Maana hana mvuto kibiashara ukilinganisha zari wema na hamisa
Lakn diamond aligeuka mbogo wakazinguana sanaa...lkn kwakua mendez ni mzungu wa roho akaamua kujiondoa kimyakimya na kufnya njia za kwenda Konde gang