Chanzo cha Taifa Stars Kuchukiwa na kuchangia kufanya vibaya

Sipingani sana na maombi yako


Tufungwe tuu......kwanza wametuonyesha dharau na kuidharau timu mapema kwa kutuwekea machawa wao kuwa wahamasishaji badala ya kutuwekea watu wa mpira

Tufungwe tuu za kutosha
Aliyeanzisha Mifumo ya uchawa ameleta hasara sana
 
Nilisha sema humu siasa zinaharibu furaha ya mtanzania....ona sasa.

Mimi ni nani......tufungwe sana tu.
 
daaah kweli ni timu ya ccm na tff na sio ya taifa, watu wanatema nyongo mbaya mbovu
 
Hata kama Fisiemu wakitangaza kuwa Taifa stars ni timu yao na ikishinda kwa sababu wana mtindio wa ubongo wataanza kumsifia mama yao bado Taifa stars ni timu ya Taifa Tanzania, na ulimwengu unajua hilo na watanzania wenye akili wanajua hilo hivyo nitaisapoti na naiombea kufanya vizuri.
 
Ikichukuwa kombe hicho kitita ni cha Watanzania wote kwa maendeleo yetu. tuipende timu yetu ya taifa. Basi ambae haipendi aende akachekiwe "Mirembe ".
 
Ikichukuwa kombe hicho kitita ni cha Watanzania wote kwa maendeleo yetu. tuipende timu yetu ya taifa. Basi ambae haipendi aende akachekiwe "Mirembe ".

Aliyekuambia maendeleo ya mtu yanaletwa na timu kushinda ni nani?.

Timu ikishinda ya kwenu, ikikandwa kama leo itakavyokuwa mnataka iwe ya wananchi, hivi ni nani aliyewaroga enyi wanasisiemu?.

Ukiona watu wanafurahia timu ya taifa kufungwa jiulize ni wapi mmekwama ili mjirekebishe.
 
Badala kuonekana timu ya taifa imeonekana timu ya ccm ndo shida ilipo
 
Watoto wa mama Kizimkazi leo dimbani dhidi ya Morocco! Hahahaha!
 

Funga mbwa wa ccm hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…