Chanzo cha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa waume wengi wa Dar es Salaam

TIBALISHE

New Member
Joined
Aug 15, 2021
Posts
0
Reaction score
2
Kumekuwa na dhana mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali hasa wanaume na wanawake wa mikoani nje ya mkoa wa Dar es salaam

Eakiwashutumu wanaume wa mkoa wa Dar es salaam kuwa hawana nguvu za kiume, wanadai kuwa tatizo hili linawapata ni kwasababu wanapenda sana Chipsi.

hii sio kweri kabisa, kwasabubu kama kula chipsi ndio ingekuwa sababu ya hawa wanaume wa Dar kukosa nguvu za kiume Basi hili tatizo lingewapata sana wanaume wanaotokea nyanda za juu kusini kama Mbeya, Njombe, na watu wa Tanga lushoto na Kilimanjaro kwasabu huko ndio hizo chipsi hutoka.

SABABU ZANAZOPELEKEA WANAUME WA DAR KUKOSA NGUVU ZA KIUME NI KAMA IFUATAVYO
1. MSONGO WA MAWAZO. Wanaume wengi wa mkoa wa Dar es salaam wanamsongo wa Mawazo unaotokana na mfumo wa maisha Dar, mwanaume yeyote Dar lazima anakua na majuku mengi yanayo hitaji pesa kila anapoamka anatakiwa aache pesa ya cha kula kwa mke wake anawaza huku anadaiwa Kodi ya Nyumba, huku mtoto anahitaji Nauli ya kwenda shule, kama hana mtoto, mpenzi wake au mchumba wake anahitaji pesa ya kusuka, pesa ya mavazi pesa ya matumizi mengine, wakati hayo mambo watu wa mikoani hawana, wao wanawaza vitu vichache sana

2. kelemewa na Majukum mengi yanayo hitaji pesa, yanampelekea kua Bize sana kutafuta pesa na kuto kufikiri mapenzi kwaiyo

3. Mtindo wa Maisha, vijana au wanaume wengi wa mkoa wa Dar es salaam hawana mda wa kufanya mazoezi, mfano Anamka asubuhi anapanda Gari anaenda kazini akitoka kazini anapanda k=gari kurejea Nyumnbani kifika nyumbani ni usiku sana kwasabu ya foleni na changamoto za usafiri anajikuta hana mda kufanya mazoezi.

Asanteni sana wenu katika ujenzi wa Taifa Andrew joseph Mwantindi
 
Bila kupepesa macho Ulaji ndio shida kubwa. Na zipo tiba na tiba kubwa ni ulaji mzuri (balance diet)
 
Dar ninetoka muda lakin sasa naogopa hata kwenda kusalimia ndugu kila kona ni habari za hovyo tu ukiuliza wap Dar inasikitisha
 
Bila kupepesa macho Ulaji ndio shida kubwa. Na zipo tiba na tiba kubwa ni ulaji mzuri (balance diet)
mayai ya kisasa haya ni moja wapo mavyakula yenye cholesterol nyingi upungufu wa nguvu za kiume huambatana na pressure ya damu sometimes. mtu anaweza akawa fiti lakin lifestyle inampelekeabkuwa na tatizo la hormonal imbalances
 
Ingekua enzi za Prince, Angelo’s tamko kuanzia leo wanaume wa Dar ni marufuku kuwa na mawazo katika mkoa wangu.
 
mayai ya kisasa haya ni moja wapo mavyakula yenye cholesterol nyingi upungufu wa nguvu za kiume huambatana na pressure ya damu sometimes. mtu anaweza akawa fiti lakin lifestyle inampelekeabkuwa na tatizo la hormonal imbalances
protein is the causative agent wa mucus, proteini haitumiki/assimilate na seli za mwili cos haina electon badala yake in ganda hivyo ni hatari kwa mwili mzima (cell erosion)
 
mazoezi ni muhimu ila what u take inside ni bora kuliko hizo gym, maisha yetu (majority) ni gym yakutosha. Mazoezi na huku unafacamia inorganic foods ni sawa na kujaza tenga maji Trust me
tunaita junk foods ukifanya mazoez uku unakula hovyo unakuwa kibonge sio kijaza tena
 
Suala la wanaume wa dar na wa mikoani ipo siku litaibua vita kubwa, ipo siku tutawapiga marufuku wanaume wa mikoani kuja dar, kila siku kukashifu wakati kila siku wanaume wa mikoani wanamwagika kuja na mabus yao.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Viazi vinatoka nyanda za juu kusini huko kweli lakini kule hawali chipsi kama dar. Mfano mbeya kuna vyakula kedekede yaani mpaka mtu ale chipsi daah, huyo kakosa mlo au labda kwa hamu tu.
Sasa dar chipsi kwa wengine ni chakula kikuu, mtu kila siku anakula chipsi.

Mkuu chipsi ni tatizo sio kwa nguvu za kiume tu hata kwa afya, sijui kwa wengine ila mi nikila chipsi nakua kama sijala kabisa yan.
 
Kumekuwa na dhana mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali hasa wanaume na wanawake wa mikoani nje ya mkoa wa Dar es salaam

Eakiwashutumu wanaume wa mkoa wa Dar es salaam kuwa hawana nguvu za kiume, wanadai kuwa tatizo hili linawapata ni kwasababu wanapenda sana Chipsi.

hii sio kweri kabisa, kwasabubu kama kula chipsi ndio ingekuwa sababu ya hawa wanaume wa Dar kukosa nguvu za kiume Basi hili tatizo lingewapata sana wanaume wanaotokea nyanda za juu kusini kama Mbeya, Njombe, na watu wa Tanga lushoto na Kilimanjaro kwasabu huko ndio hizo chipsi hutoka.

SABABU ZANAZOPELEKEA WANAUME WA DAR KUKOSA NGUVU ZA KIUME NI KAMA IFUATAVYO
1. MSONGO WA MAWAZO. Wanaume wengi wa mkoa wa Dar es salaam wanamsongo wa Mawazo unaotokana na mfumo wa maisha Dar, mwanaume yeyote Dar lazima anakua na majuku mengi yanayo hitaji pesa kila anapoamka anatakiwa aache pesa ya cha kula kwa mke wake anawaza huku anadaiwa Kodi ya Nyumba, huku mtoto anahitaji Nauli ya kwenda shule, kama hana mtoto, mpenzi wake au mchumba wake anahitaji pesa ya kusuka, pesa ya mavazi pesa ya matumizi mengine, wakati hayo mambo watu wa mikoani hawana, wao wanawaza vitu vichache sana

2. kelemewa na Majukum mengi yanayo hitaji pesa, yanampelekea kua Bize sana kutafuta pesa na kuto kufikiri mapenzi kwaiyo

3. Mtindo wa Maisha, vijana au wanaume wengi wa mkoa wa Dar es salaam hawana mda wa kufanya mazoezi, mfano Anamka asubuhi anapanda Gari anaenda kazini akitoka kazini anapanda k=gari kurejea Nyumnbani kifika nyumbani ni usiku sana kwasabu ya foleni na changamoto za usafiri anajikuta hana mda kufanya mazoezi.

Asanteni sana wenu katika ujenzi wa Taifa Andrew joseph Mwantindi
Nimekuelewa sana mkuu kwa sababu hujajikita kibiashara
 
Hivi tatizo ni chipsi au mafuta yanayokua kwenye chipsi ambayo yalitumika kwenye kukaanga hizo chipsi?

Vipi kama hivyo viazi vikitumika kutengeneza mlo mwingine badala ya chipsi pia itakua na madhara? bila shaka tatizo sio chipsi bali ni mafuta.
 
Ni kweli mafuta mengi ni ya viwandani yaani vina kemikali na ni tatizo kwa afya, ila pia viazi vya chipsi pia ni chakula cha maabara yaani inorganic (unnatural) hivyo hutengeneza asidi nyingi mwilini. Tuviepuke bro.
 
CHIPSI NI KAMA APPETIZER KWANGU NAKULA KWA HAMU SIO CHAKULA KIKUU

Back
Top Bottom