Chanzo cha tatizo (root cause) ni Samia na genge lake; mkitaka kuamini hilo, Dr. Mwinyi aje huku na Samia aende Zanzibar, nchi itatulia

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,096
Ikitokea samia aende kuwa raisi wa Zanzibar halafu Dr. Mwinyi aje kuwa raisi wa JMT, naamini Taifa litarudi kwenye utulivu wake immediately. Ndio!. Ila najua kuna wengine watabisha. Do you know WHY?.. THE ANSWER IS VERY SIMPLE.

Samia na genge lake (Deep State) WAMEKATALIWA Mbinguni na Duniani. Now, wanachofanya ni kucheza a very very DIRTY and DANGEROUS GAME ya kueneza Propaganda mbaya kabisa ya UDINI ili kujaribu kuwatoa wananchi katika reli - madai yao ya msingi, hivyo kuficha mzizi wa tatizo kubwa.

Ila hii ndio karata yao ya mwisho. Trust me Guys. They are out of ammos. Watangayika tusikubali Kuhadaiwa. Tushikilie hapo hapo.
 
Ikitokea samia aende kuwa raisi wa Zanzibar halafu Dr. Mwinyi aje kuwa raisi wa JMT, naamini Taifa litarudi kwenye utulivu wake immediately. Ndio!. Ila najua kuna wengine watabisha. Do you know WHY?.. THE ANSWER IS VERY SIMPLE. Samia na genge lake (Deep State) WAMEKATALIWA Mbinguni na Duniani. Now, wanachofanya ni kucheza a very very DIRTY and DANGEROUS GAME ya kueneza Propaganda mbaya kabisa ya UDINI ili kujaribu kuwatoa wananchi katika reli - madai yao ya msingi, hivyo kuficha mzizi wa tatizo kubwa. Ila hii ndio karata yao ya mwisho. Trust me Guys. They are out of ammos. Watangayika tusikubali Kuhadaiwa.
We don't need Zanzibarian anymore. Let us have our Tanganyika again.
 
Ikitokea samia aende kuwa raisi wa Zanzibar halafu Dr. Mwinyi aje kuwa raisi wa JMT, naamini Taifa litarudi kwenye utulivu wake immediately. Ndio!. Ila najua kuna wengine watabisha. Do you know WHY?.. THE ANSWER IS VERY SIMPLE.

Samia na genge lake (Deep State) WAMEKATALIWA Mbinguni na Duniani. Now, wanachofanya ni kucheza a very very DIRTY and DANGEROUS GAME ya kueneza Propaganda mbaya kabisa ya UDINI ili kujaribu kuwatoa wananchi katika reli - madai yao ya msingi, hivyo kuficha mzizi wa tatizo kubwa.

Ila hii ndio karata yao ya mwisho. Trust me Guys. They are out of ammos. Watangayika tusikubali Kuhadaiwa. Tushikilie hapo hapo.
Samia is zero brain
 
Kaaaamwe TEC hawatotulia, naapa kwa Mungu. Isitoshe tusizungumzie vitu vya kufirika kwa maana hakuna kitu kama hicho unachoongea.......madaraka hayawezi kubadilishwa kama njugu namba hiyo!
 
Always jaribu kujitahidi hisia zako zisizidi akili.
 
Muhimu tupate katiba bora itakayamfanya Rais awe na nidhamu, sasa hivi watu wanakimbilia cheo cha Urais, wanajua Rais ni untouchable. Rais should be touchable person, hapaswi kuwa juu ya sheria. Ujinga wote huu umeletwa na ccm na watu wote wanaofikiria Bora ccm au muungsno nchi haziwezi simams
 
Ikitokea samia aende kuwa raisi wa Zanzibar halafu Dr. Mwinyi aje kuwa raisi wa JMT, naamini Taifa litarudi kwenye utulivu wake immediately. Ndio!. Ila najua kuna wengine watabisha. Do you know WHY?.. THE ANSWER IS VERY SIMPLE.

Samia na genge lake (Deep State) WAMEKATALIWA Mbinguni na Duniani. Now, wanachofanya ni kucheza a very very DIRTY and DANGEROUS GAME ya kueneza Propaganda mbaya kabisa ya UDINI ili kujaribu kuwatoa wananchi katika reli - madai yao ya msingi, hivyo kuficha mzizi wa tatizo kubwa.

Ila hii ndio karata yao ya mwisho. Trust me Guys. They are out of ammos. Watangayika tusikubali Kuhadaiwa. Tushikilie hapo hapo.
Akienda kuwa Rais Zanzibar ataondoka na wanamtandao?
 
Always jaribu kujitahidi hisia zako zisizidi akili.
Wewe pia. Kwahiyo, msomi wewe, inawezekana kubadilishwa maraisi Hadi tukae watu wazima hapa na mapwala yetu mareeeefu yakiwa yanakongoya tuwe tunazungumzia hilo?!!!!!!!
 
Wote sawa tu wana utamaduni wao huko Zanzibar wa nepotism na ufisadi; never again Tanganyika kuongozwa na hao watu.

Huyo Mwinyi ni fisadi huko Zanzibar Samia aingii, tender zote kubwa wanapewa jamaa zake.

Bora twende na utamaduni wa Lebanon tu siku zote raisi mkristo, PM Sunni na Speaker Shia.

Kwetu raisi awe mmbara, mawaziri wa mambo ya ndani, fedha na uchukuzi bara (haya mambo wameshijitoa kwa sehemu kubwa) hakuna sababu ya kuweka mzanzibari tena.

Hakuna kitu huyu mama anachofanya kwa sasa zaidi ya kuinyonya bara tu na ndugu zake; kama Mwinyi anavyofanya Zanzibar.

Hiyo katiba watch this space sio kwamba anaitaka kwa nią njema; bali ni kwa sababu ya more devolution yenye kwa Zanzibar ilhali mzito ubaki bara.

Never again
 
Yule Mwinyi ni binadamu. Siyo jini anayetaka muda wote kunywa damu za watu.
 
Back
Top Bottom