Chanzo cha ugomvi kati ya Samwel Sitta na Edward Lowassa

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
ASILI YA UGOMVI WA EDWARD LOWASSA NA SAMUEL SITTA

MWAKA 1995, ilianza misheni ya kumshawishi Dk Salim Ahmed Salim, aachane na ukatibu mkuu wa OAU, arejee kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM.

Misheni hiyo ilipofeli, wazee, Mwalimu Nyerere na Mzee Rukhsa, walimketisha Jakaya, wakamshawishi achukue fomu. Jakaya akawa anasita. Hakujiamini.

Mtu wa mipango, Edward Lowassa, aliusoma mchezo, akaupa tafsiri chanya. Akampa somo kaka mkubwa, Samuel Sitta. Ikawa timu. Edward na Sitta, wakamwendea Jakaya. Wakamshawishi achukue fomu.

Tofauti na ushawishi wa wazee kwa Jakaya, safari hii Edward na Sitta, walibeba ramani ya upacha. Jakaya na Edward waingie ulingoni kama mapacha. Ambaye angekwama njiani, angemsaidia mwenzake ashinde. Sitta akawa meneja kampeni.

Edward na Sitta, walimhakikishia Jakaya kuwa wangemfanyia kila kitu. Jakaya alikuwa Waziri wa Fedha. Alitingwa na maandalizi ya bajeti ya Serikali 1995-1996. Edward na Sitta, walizungusha fomu ya Jakaya nchi nzima, ikapata wadhamini. Jakaya akiwa zake ofisini, Dar.

Huo ndiyo ulikuwa mwanzo wa ndoa ya kisiasa ya Jakaya na Edward. Sitta ni mhusika muhimu. Watu hao watatu, jumlisha Rostam Aziz, aliyeingia baadaye, ndiyo vichwa vikuu vya mtandao ulioshinda kiti cha urais mwaka 2005. Jakaya akaingia Ikulu.

Ajabu, miaka mwili baada ya ushindi wao, walivurugana. Moto uliwaka bungeni. Edward alitoswa uwaziri mkuu kupitia "ajali" ya Richmond, Sitta akiwa Spika wa Bunge.

Edward akasema: "Tatizo ni uwaziri mkuu."

Eti, Sitta alimwonea kijicho Edward kuwa waziri mkuu. Kwa nini na walikuwa timu moja?

Jibu ni hili; wanamtandao walikuwa desperate kuhakikisha Jakaya anashinda urais 2005. Mizungu mingi ilichezwa kupitia kanuni: "Sema Chochote, Kubali Chochote, Ahidi Chochote, Chafua Yeyote, Mradi Jakaya awe Rais."

Kanuni hiyo ndiyo asili ya mgogoro wa Edward na Sitta. Wote waliahidiwa uwaziri mkuu. Edward akapata, Sitta akatakiwa awe Spika wa Bunge.
 
Sentensi ya mwanzo tayari makosa kibao.Mwl Nyerere hakuwahi kumtaka Kikwete hata siku moja.
 
Hii story inatusaidiaje
kama taifa lenye changamoto nyingi za kiuchumi na kijamii?
 
Mwlm nyerere hajawahi kumtaka kikwete,chaguo lake alikuwa kondeboy (lupaso boy)vivyo hivyo kwa mzee wa monduli alimkataa live,sita yeye alishawahi kumchapa adi viboko alipoitisha mgomo chuo kikuu dar,au kuna nyerere mwingine wa bongo movie?
😄😄😄😄😄
 
Na bado inaendelea kureciprocate na kuja kuleta anguko la CCM baadae. Hii analogy ipo kama video moja simba walimkamata mnyama kisha wakaanza kupigana wao kwa wao na baadae yule mnyama akaamka na kuondoka zake.
 
Ila ni kweli ugomvi huu ulimnufaisha Magufuli na kumuibua Samia na haujaisha bado. Mungu tusaidie. Ni episode inawekwa inaendelea.
 
Kwahiyo? Tuletee habari za wanaozungumza ili tuwapime. Hao waache wapumzike milele
 
Hii ni full fix.
Uongo wa kawaida sana.
Nashauri mleta mada hii hadithi yake aipeleke Facebook kuna mambulula wanaweza kumuamini, kwa hapa JF hapana.
 
Ukitaka kujua kuwa pumzi tunayovuta sio chochote sio lolote, wote wawili ni RIP kabakia Kikwete akiwa mstaafu hana madaraka ya moja kwa moja kwa Rais aliyepo zaidi ya kutoa ushauri ambao unaweza kukubaliwa na kukataliwa.
 
Na bado inaendelea kureciprocate na kuja kuleta anguko la CCM baadae. Hii analogy ipo kama video moja simba walimkamata mnyama kisha wakaanza kupigana wao kwa wao na baadae yule mnyama akaamka na kuondoka zake.
Nadhani ndio hii.
Mfano mzuri sana huu, ccm itapasuliwa na wenyewe ccm
 
Hata hivyo Mh Kikwete aliongoza Nchi vema. Aliteleza kwenye mchakato wa kumpata mrithi wake kwa kuwa na upendeleo uliosababisha mgawanyiko.
 
Mwlm nyerere hajawahi kumtaka kikwete,chaguo lake alikuwa kondeboy (lupaso boy)vivyo hivyo kwa mzee wa monduli alimkataa live,sita yeye alishawahi kumchapa adi viboko alipoitisha mgomo chuo kikuu dar,au kuna nyerere mwingine wa bongo movie?
Hata Mkapa hakuwa chaguo lake awali. Chaguo lake lilikuwa Salim A. Salim, walipo mshawishi akawa anasitasiata kutoka huko aliko.

Wakati Ben anaenda kumwambia Mwalimu kuwa amejipima na anataka kugombea ndipo mwalimu akampima na kumwona ni bora kuliko wengine wote. Akamuunga mkono.
 
Back
Top Bottom