Mayela chalya's
Member
- Sep 7, 2013
- 25
- 42
Habari za Harakati za kiuchumi.
Napenda kuwashauri Wafanyakazi wenzangu ya kwamba mchawi wa maendeleo yetu ni sisi wenyewe sio kipato kidogo.
Mfano unajua kabisa kijana wa ambae hana ajira akipata 10millioni akiwa mtaani anaweza kuikuza na kuwa tajiri kuliko wewe. Ila wewe unaweza kupata mkopo wa hela hiyo lakini huwezi kuacha kazi sababu ya UOGA.
WAFANYAKAZI hatuna bajeti, tunajikuta tunatumia hela nyingi vibaya. Tunapend maisha ya kuonekana unapeleka mtoto international school tangu akiwa na miaka miwili hadi form six alafu unategemea akiajiriwa ndo akusaidie, ASIPOAJIRIWA?
Wafanyakazi wanadhani muajiri ndo mwenye dhamana ya maisha yao na mwenye wajibu wa kuhakikisha wao wanaishi vizuri wanasahau wao wenyewe ndio responsible wa maisha yao. Kama kazi haikulipi unavyotaka acha ukiona huwezi kuacha basi wewe ndo unahiitaji kazi sana kuliko yenyewe inavyokuhitaji wewe.