Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama bado upo naye usimwache shemeji yetu[emoji120]Nmeongea haya sio kwa nadharia hapana mimi nmeajiriwa 2012 nmecheza kombolela kama miaka mitano hivi, yaani unalipwa mshahara hujui hata unaishia wapi[emoji28]
Na hapo sikua na familia wala nini lakini nhoma haioni giza mbili. Nikaja kupata dem akachangia kunifungua mawazo, nikajiuliza saiz nakaa na dem lakin hela naiona na inakutana na mwez ujao na nakula vizuri shida ilikua wapi????
Siku moja nmekaa na bibie tukaanza kupanga bajeti ya mwaka ndo akanieleza nunua mahitaji kwa mwaka hatutaumia, nakumbuka wakati wa watu kuvuna mahindi nikaagiza kijijin kunia moja la mahindi wakat mwanzo nlikua nanunua unga sembe, mchele tukaanza kununua wakati wa mavuno tunaagiza, nkaanza kununua mkaa wakati mwanzo nlikua na gesi pekee, mafuta,sabuni n.k tukaanza kununua maduka ya jumla.
Nikienda kazini nlikua nanunua maji ya buku na soda au maji tu lakini akaninunulia chupa akawa ananiwekea maji ya kunywa 2LT na kachupa kengine cha juice ya kusaga mara moja moja. Kazini nikawa sili anapika home anampa boda ananletea kwa buku.
Tuliweza kuishi maisha yetu japo mwanzo nlikua naona aibu wana wananicheka ila saiz ndo wanakuja niwakopeshe hela.
BILA KUPANGA BAJETI HUWEZI KUONA MIANYA YA KUPUNGUZA MATUMIZI YASIO YA LAZIMA
Siyo kweliHabari za Harakati za kiuchumi.
Napenda kuwashauri Wafanyakazi wenzangu ya kwamba mchawi wa maendeleo yetu ni sisi wenyewe sio kipato kidogo.
Mfano unajua kabisa kijana wa ambae hana ajira akipata 10millioni akiwa mtaani anaweza kuikuza na kuwa tajiri kuliko wewe. Ila wewe unaweza kupata mkopo wa hela hiyo lakini huwezi kuacha kazi sababu ya UOGA.
WAFANYAKAZI hatuna bajeti, tunajikuta tunatumia hela nyingi vibaya. Tunapend maisha ya kuonekana unapeleka mtoto international school tangu akiwa na miaka miwili hadi form six alafu unategemea akiajiriwa ndo akusaidie, ASIPOAJIRIWA?
Wafanyakazi wanadhani muajiri ndo mwenye dhamana ya maisha yao na mwenye wajibu wa kuhakikisha wao wanaishi vizuri wanasahau wao wenyewe ndio responsible wa maisha yao. Kama kazi haikulipi unavyotaka acha ukiona huwezi kuacha basi wewe ndo unahiitaji kazi sana kuliko yenyewe inavyokuhitaji wewe.
Najiulizaga sana, how do they savaiv!Kuna watu Wana vuta laki 3 cash na wanaishi hivyo hivyo,ni ufundi tu,na huwezi jua kama anadunda na mshahara huo.
WAFANYAKAZI hatuna bajeti, tunajikuta tunatumia hela nyingi vibaya. Tunapend maisha ya kuonekana unapeleka mtoto international school tangu akiwa na miaka miwili hadi form six alafu unategemea akiajiriwa ndo akusaidie, ASIPOAJIRIWA?
Una maanisha international au English medium.Habari za Harakati za kiuchumi.
Napenda kuwashauri Wafanyakazi wenzangu ya kwamba mchawi wa maendeleo yetu ni sisi wenyewe sio kipato kidogo.
Mfano unajua kabisa kijana wa ambae hana ajira akipata 10millioni akiwa mtaani anaweza kuikuza na kuwa tajiri kuliko wewe. Ila wewe unaweza kupata mkopo wa hela hiyo lakini huwezi kuacha kazi sababu ya UOGA.
WAFANYAKAZI hatuna bajeti, tunajikuta tunatumia hela nyingi vibaya. Tunapend maisha ya kuonekana unapeleka mtoto international school tangu akiwa na miaka miwili hadi form six alafu unategemea akiajiriwa ndo akusaidie, ASIPOAJIRIWA?
Shikamoo mkuuNmeongea haya sio kwa nadharia hapana mimi nmeajiriwa 2012 nmecheza kombolela kama miaka mitano hivi, yaani unalipwa mshahara hujui hata unaishia wapi😅
Na hapo sikua na familia wala nini lakini nhoma haioni giza mbili. Nikaja kupata dem akachangia kunifungua mawazo, nikajiuliza saiz nakaa na dem lakin hela naiona na inakutana na mwez ujao na nakula vizuri shida ilikua wapi????
Siku moja nmekaa na bibie tukaanza kupanga bajeti ya mwaka ndo akanieleza nunua mahitaji kwa mwaka hatutaumia, nakumbuka wakati wa watu kuvuna mahindi nikaagiza kijijin kunia moja la mahindi wakat mwanzo nlikua nanunua unga sembe, mchele tukaanza kununua wakati wa mavuno tunaagiza, nkaanza kununua mkaa wakati mwanzo nlikua na gesi pekee, mafuta,sabuni n.k tukaanza kununua maduka ya jumla.
Nikienda kazini nlikua nanunua maji ya buku na soda au maji tu lakini akaninunulia chupa akawa ananiwekea maji ya kunywa 2LT na kachupa kengine cha juice ya kusaga mara moja moja. Kazini nikawa sili anapika home anampa boda ananletea kwa buku.
Tuliweza kuishi maisha yetu japo mwanzo nlikua naona aibu wana wananicheka ila saiz ndo wanakuja niwakopeshe hela.
BILA KUPANGA BAJETI HUWEZI KUONA MIANYA YA KUPUNGUZA MATUMIZI YASIO YA LAZIMA
Dogo unajitutumua huna unalojuaHabari za Harakati za kiuchumi.
Napenda kuwashauri Wafanyakazi wenzangu ya kwamba mchawi wa maendeleo yetu ni sisi wenyewe sio kipato kidogo.
Mfano unajua kabisa kijana wa ambae hana ajira akipata 10millioni akiwa mtaani anaweza kuikuza na kuwa tajiri kuliko wewe. Ila wewe unaweza kupata mkopo wa hela hiyo lakini huwezi kuacha kazi sababu ya UOGA.
WAFANYAKAZI hatuna bajeti, tunajikuta tunatumia hela nyingi vibaya. Tunapend maisha ya kuonekana unapeleka mtoto international school tangu akiwa na miaka miwili hadi form six alafu unategemea akiajiriwa ndo akusaidie, ASIPOAJIRIWA?
Wafanyakazi wanadhani muajiri ndo mwenye dhamana ya maisha yao na mwenye wajibu wa kuhakikisha wao wanaishi vizuri wanasahau wao wenyewe ndio responsible wa maisha yao. Kama kazi haikulipi unavyotaka acha ukiona huwezi kuacha basi wewe ndo unahiitaji kazi sana kuliko yenyewe inavyokuhitaji wewe.
Nchi hani hii?Mishahara midogo na mazingira yasio rafiki kwa Wafanyakazi hakuna kingine mkuu..niliwahi piga box Debeers Marine wale jamaa kila muda una malipo tofauti kuanzia saa kumi jioni kuendelea mpaka saa sita usiku harafu pana rikizo ya lazima ambayo unalipwa na kama ukijaza form kwamba utaenda kutembelea Nchi yeyote wao ndio watafanya malipo ya hotel na ndege huko harafu unasema mishahara haiusiani na umasikini huku wao wanalipa kodi ya nyumba na matibabu na Bima hakuna unachofikiria zaidi ya kupiga kazi mpaka za usiku wa manane na kila mwisho wa mwaka mnapewa Bonus nzuri tu...
Tupe mbunu ya kupunguza umasikini lo
Cape Town, SA miaka ya nyuma kidogo sio sasa hivi..Nchi hani hii?
Kama haitoshi acha kazi😅Duh, kazi kwelikweli!
Kwamba take home 560,000/=
Mke,watoto wawili, chakula, mavazi, nauli, matibabu yaliyo nje ya bima, kodi ya nyumba, maji, umeme, nauli ya kwendea kazini kwa siku 28 za mwezi, inatosha kabisaa?