HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Habarini,
Lengo kubwa la Waafrika kupigana vita dhidi ya wakoloni ilikuwa ni kurudisha ardhi na heshima yao ambazo zilikuwa zimechukuliwa na wanasiasa na viongozi wa dini wa kikoloni siyo kurejesha DEMOCRACY.
Leo hii taasisi za kidini na wanasiasa ndiyo wanamiliki ARDHI na UTU kwa kumiliki ardhi na mali kibao kwa kisingizio cha DEMOCRACY na AMANI.
Kama WAAFRIKA hatutaamka na kuanzisha vita dhi ya watu hawa WANASIASA na VIONGOZI wa dini basi UMASKINI utakuwa ni HAKI yetu milele kwa kuwa WANASIASA na viongozi wa DINI ni pipa na mfuniko,wao ndiyo sababu ya vita,maisha magumu,madeni yasiyolopika na mauaji ya raia huko DRC,Kenya,Somalia,Libya,Mali,nk.