HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Taswira ya mtu huanzia kwenye majina anayojiita yeye mwenyewe lwa utambulisho kama ulivyofanya wewe kujiita "muuza madafu wa ikulu" kitu ambacho kinaonesha wewe ni KIBUDU hujui unatoka wapi na unaenda wapi bali unafuata upepo kama bendera kwa misemo ya mihemko na siasa za maji taka.Kwahiyo viongozi wa kisiasa na kidini ndio wamesababisha uwe kula kulala bure hapo kwa shemeji yako alipoolewa dada yako.
Pumbavu. Amka kafanye kazi uondokane na huo umaskini. Acha kubet bwege wewe.
Hakuna mwafrika anayejitambua akiwa chini ya dini za kuja(i.e:uislam,ukristo,nk) kwa kuiga mfumo wa maisha ya wakoloni ikiwemo siasa.Chanzo cha umasikini ni kutojitambua, kutotambua rasilimali zinazokuzunguka na jinsi ya kuzitumia.
Kwani hawa wazungu, waarabu, waasia wanaokuja Africa na kutàjirika hào viongozi wa dini na kisiasa huwà hawapo?Habarini,
Lengo kubwa la Waafrika kupigana vita dhidi ya wakoloni ilikuwa ni kurudisha ardhi na heshima yao ambazo zilikuwa zimechukuliwa na wanasiasa na viongozi wa dini wa kikoloni siyo kurejesha DEMOCRACY.
Leo hii taasisi za kidini na wanasiasa ndiyo wanamiliki ARDHI na UTU kwa kumiliki ardhi na mali kibao kwa kisingizio cha DEMOCRACY na AMANI.
Kama WAAFRIKA hatutaamka na kuanzisha vita dhi ya watu hawa WANASIASA na VIONGOZI wa dini basi UMASKINI utakuwa ni HAKI yetu milele kwa kuwa WANASIASA na viongozi wa DINI ni pipa na mfuniko,wao ndiyo sababu ya vita,maisha magumu,madeni yasiyolopika na mauaji ya raia huko DRC,Kenya,Somalia,Libya,Mali,nk.