Chanzo cha viumbe vyote(Kisayansi)

 
 
 
Wakuu tukiangalia pande zote za story ya uumbaji kwa upande wa hii ya biblia clue ni mtu atoe udhibitisho usi wa kufikirika na wakisomi kuusu uwepo wa Mungu@Aiyar
 

Unajikanganya unaposema "Hizi NGUVU ZISIZOONEKANA ambazo NI LAZIMA TU ZIWEPO:" Kwa hiyo hujui NGUVU hizo zinamilikiwa na nani, na nani ameziwekea hiyo LAZIMA YA KUWEPO. Dunia hii tunatawaliwa na hakika ya kila kitu kuwa na mwanzo na baadaye kuisha.

Chunguza gari ulielewe linavyofanya kazi, limeunganishwa na wanadamu na linaendeshwa na wanadamu. Sasa jiweke na wewe katika mfano wa gari na kuwa kuna aliyekutengeneza na ndiye anakuendesha. Unavuta hewa bila hata kufikiri, ukisikia njaa unakula na ndiyo unaweza kwenda, gari sharti ulitie petroli. Mtoto mdogo akitengeneza gari la miti huenda akiliendesha huku akilia kama gari, lakini gari hilo hutembea kadri anavyolisukuma.

Sasa angalia ngazi hizi tatu za utendaji halafu utajua kuwa kuna mtiririko wa aina ya kipekee lakini wa kweli. Sasa huko juu weka hizo NGUVU ZA LAZIMA KUWEPO ambazo zinakuendesha wewe kama ambavyo binadamu anaendesha gari.Zipe majina yote unyotaka likwemo la "SUPERNATURAL" na hapo utamkuta ndipo MUNGU wako alipo, wewe nawe ni mungu wa gari lako, na mtoto ni mungu wa gari lake etc.

Utashangaa gari la miti halimjui mtoto anayeliendesha, na gari lako halikujui wewe, linahitaji petroli tu, sasa kwa mfumo huo huo na wewe humjui Mungu wako, lakini kwa sababu Mungu alikupenda akakupa uzima na akli ya kujua na kutambua ndipo akajitambulisha kwako kupitia vitabu vitakatifu kama BIBLIA NA KORANI.

Kubali haya kwa kufuata usemi wa "LISEMWALI LIPO KAMA HALIPO LAJA". HEKIMA HULITHIWA, USIWE MJINGA UKAJAPOTEA KWA SABABUI YA kuacha kuamini. Tambua maana na umuhimu wa KUAMINI.
 
Mimi nauliza tu,sote hatuwezi kuikataa sayansi hii iliyoumba dunia na yaliyomo.tuweke dini kando halafu kama mtu huru jiulize tu,ni kipi reasonable kuamini,kwamba yupo aliyeumba haya au yamejitokea tu yenyewe?kwangu mie tafadhali usiniambie eti nimetokea tuu,tokea tuu kla klaa.. juve huyu hapa!nitake radhi aisee, haya ni matusi makubwa.
 
Niwaimbie nyimbo gani jamaa zangu wa "hakuna Mungu"?ngoja leo niporomoshe reggae ya Ziggie Marley ..."tomorrow people,where is your past?,tomorrow people,how long will you last?..today you say you deyah,tomorrow you say you're gone,but you're gone so long,if there is no love (GOD) in your heart,so sorry,there is no hope for you,true,true..you don't know your past,you dont know your future.."
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…