Yalitoka kwa Mungu tu. Hajawahi kutokea mpaka hivi leo mwanadamu mwenyeuwezo wa kuandika yaliyomo kwenye Quran, si maarifa ya kawaida hata kidogo. Na Mungu mwenyewe ndiye aliyeahidi kukilinda kitabu hicho, na ndivyo anavyofanya mpaka hii leo. Hakuna Uhariri wala toleo jipya tangu karne ya 7 mpaka hivi leo. hilo pekee ni uthibitisho wa uwepo wake Mungu.
Ubaguzi kama upi unaousema?
Kuhusu mapokeo sijakuelewa.
Unajua kwa nn mpaka leo hakuna toleo jipya wala maongezo katika vitabu vya dini??.Jiulize je wanaruhusu??,je walioandika waliacha mwanya huo??,je hakuna mistar pale inayokataza kuongeza chochote??bila shaka ipo.
Wanasayansi kama akina Albert Stein walipokuwa wakimalizia ugunduz wao walikomment kwamba ""wajao wataendelea kuanzia hapa"",ama walisema "sayansi ikikuwa kutapatikana ufumbuz.'".Lakini katika swala la imani mwanya huo haukuwepo kabisa.Na ndo mana hakuna aliyeweza kuongeza.We unaona sawa koran na Bible kujaa tamaduni za zamani na historia za maisha ya watu wa Mashariki ya Kati??.,Je unajua kwa nn mnaowaita mizume na manabii wote walitika Mashariki ya Kati??,kwa nn sio South amerika,Asia,Canada ama Australia??.
Ubaguz na maanisha ubaguz wa matabaka na mkabila,na imani,Kwa nn huyo mungu nae awe mbaguzi??,kwa nn awape kitabu kinacho lazimisha mambo?.Kwa nn ajenge chuji kwa wale wasio pamoja nanyi,Maana ya neno ""KAFIRI"",n nn?,kwa nn kuwe na kafiri na asiye kafiri.??
Mapokeo ni mambo yaliyopokelewa kutoka kizazi kimoja hadi kingine kwa njia ya masimuzi ya mdomo ama tamaduni ama chochote kiluchorithishwa kizazi hadi kizazi.