Chanzo cha viumbe vyote(Kisayansi)

Chanzo cha viumbe vyote(Kisayansi)

Basi na yalitoka wapi?.mbona ni ya kibinadam na kidunia?.Mbona yamejaa ubaguzi na uhalisia wa udhaifu wa kawaida wa Binadam.Je kuna uthibitisho gan kwamba hayakutoka kwao walioandika.Je unafaham nn kuhusu mapokeo.

Yalitoka kwa Mungu tu. Hajawahi kutokea mpaka hivi leo mwanadamu mwenyeuwezo wa kuandika yaliyomo kwenye Quran, si maarifa ya kawaida hata kidogo. Na Mungu mwenyewe ndiye aliyeahidi kukilinda kitabu hicho, na ndivyo anavyofanya mpaka hii leo. Hakuna Uhariri wala toleo jipya tangu karne ya 7 mpaka hivi leo. hilo pekee ni uthibitisho wa uwepo wake Mungu.
Ubaguzi kama upi unaousema?
Kuhusu mapokeo sijakuelewa.
 
Unajua kwa nn mpaka leo hakuna toleo jipya wala maongezo katika vitabu vya dini??.Jiulize je wanaruhusu??,je walioandika waliacha mwanya huo??,je hakuna mistar pale inayokataza kuongeza chochote??bila shaka ipo.
Wanasayansi kama akina Albert Stein walipokuwa wakimalizia ugunduz wao walikomment kwamba ""wajao wataendelea kuanzia hapa"",ama walisema "sayansi ikikuwa kutapatikana ufumbuz.'".Lakini katika swala la imani mwanya huo haukuwepo kabisa.Na ndo mana hakuna aliyeweza kuongeza.We unaona sawa koran na Bible kujaa tamaduni za zamani na historia za maisha ya watu wa Mashariki ya Kati??.,Je unajua kwa nn mnaowaita mizume na manabii wote walitika Mashariki ya Kati??,kwa nn sio South amerika,Asia,Canada ama Australia??.

Ubaguz na maanisha ubaguz wa matabaka na mkabila,na imani,Kwa nn huyo mungu nae awe mbaguzi??,kwa nn awape kitabu kinacho lazimisha mambo?.Kwa nn ajenge chuji kwa wale wasio pamoja nanyi,Maana ya neno ""KAFIRI"",n nn?,kwa nn kuwe na kafiri na asiye kafiri.??
Mapokeo ni mambo yaliyopokelewa kutoka kizazi kimoja hadi kingine kwa njia ya masimuzi ya mdomo ama tamaduni ama chochote kiluchorithishwa kizazi hadi kizazi.
 
Quran aya ya pili inatanabahisha kuwa ni kitabu kisicho na shaka ndani yake....pasina shaka hakuna haja ya kufanya uhariri wala nyongeza ya neno wala nukta.

Mungu ninayemzungumzia ni yule ambaye hakosolewi katika alichokiumba na kile anachokitenda..huwezi kumfananisha Mungu na chochote....sembuse mwanasayansi Albert Einstein, mwanaadamu!yeye ana mapungufu na ana mwisho wa kufikiri, lazima aweke mwanya ili watakaofikiri mbali na fikra zake waweze kumrekebisha ikibidi...na ndio maana alikufa kwakuwa yeye ni kiumbe aliyeumbwa na Mungu ambaye hafi, leo Einstein hajui nini kinafanyika katika vumbuzi zake zote alozowahi kuvumbua...lakini Mungu anajua mpaka nia ya yeyote anayefikiria kuitia dosari Quran yake. na haitatokea mtu huyo kuthubutu kufanya hivyo kwani atamwadhibu kabla hajapiga hatua.

Quran imetaja Mitume wachache kati ya maelfukumi ya Mitume waliowahi kuwepo...sidhani kama yupo mwenye hakika hao mitume wote wasiotajwa waliobaki waliletwa kupitia Mashariki ya kati peke yake. na katika hili mimi nikiwa kama mwenyekuamini sina haja ya kuhoji zaidi ya hapo kwani aya ya tatu katika Quran imesema ni mwongozo kwa wenye kuamini yaliyo ghaibu.

Kafiri ni kinyume cha mtu anayekubali uwepo wa Mungu na kujisalimisha kwake...na wala sio neno la kibaguzi..litakuwa ni neno la kibaguzi endapo mmoja kati ya wale wanaokubali uwepo wa Mungu na kujisalimisha kwake atamwita mwenzake wa kundi hilo hilo kuwa ni Kafiri.

Kafiri yupo na asiyekuwa kafiri pia yupo kwa kuwa wanaadamu na viumbe wakaidi wapo na wale wasio wakaidi pia wapo. Mfano Ibilisi alipokataa kumsujudia Adam..aliitwa Kafiri.
 
Wakuu tukiangalia pande zote za story ya uumbaji kwa upande wa hii ya biblia clue ni mtu atoe udhibitisho usi wa kufikirika na wakisomi kuusu uwepo wa Mungu@Aiyar
 
MTAZAMO WANGU Kutokana na tafiti ndogo nilizo ninadhani mwanzo kabisa kabla ya kuwepo chochote kulikuwa hakuna kitu yaani utupu.

Katika huu utupu kulikuwa na Nguvu au nishati isiyo umbwa ya NISHATI YA BARIDI na umeme na nyinginezo

Kwa hiyo hizi nishati zisizo umbwasiku hadi siku zilikuwa katika hali ya mabadiliko jambo liliko sababisha kuongeza ku umbika kwa nishati au vitu vingine vinavyo umbika vyenyewe kulikuwa na vitu ambavyo vilikuwa vinaumbika AUTOMATIC.

.Na hisi kabisa mwanzo kabisa kulikuwa na utupu katika huo utupu kulikuwa na nishati mbalimbali zilizo kuwepo. Muunganiko wa hizo nishati ulisababisha utokeaji wa viumbe mbalimbali
Mimi mwanzoni kabisa ya ulimwengu kulikuwa kuna utupu. Baada ya utupu kukaa kwa muda mrefu combination au reaction ya hizi nishati ambazo ni lazima tu ziwepo (mfano JOTO au BARIDI ni hali ambazo ni lazima tu ziwepo} ziilikuwa ziki sababisha utokeaje wa nishati nyingine na vitu vingine.Hizi NGUVU ZISIZO ONEKANA ambazo ni lazima tu ziwepo ndo zilisababisha viumbe.

Unajikanganya unaposema "Hizi NGUVU ZISIZOONEKANA ambazo NI LAZIMA TU ZIWEPO:" Kwa hiyo hujui NGUVU hizo zinamilikiwa na nani, na nani ameziwekea hiyo LAZIMA YA KUWEPO. Dunia hii tunatawaliwa na hakika ya kila kitu kuwa na mwanzo na baadaye kuisha.

Chunguza gari ulielewe linavyofanya kazi, limeunganishwa na wanadamu na linaendeshwa na wanadamu. Sasa jiweke na wewe katika mfano wa gari na kuwa kuna aliyekutengeneza na ndiye anakuendesha. Unavuta hewa bila hata kufikiri, ukisikia njaa unakula na ndiyo unaweza kwenda, gari sharti ulitie petroli. Mtoto mdogo akitengeneza gari la miti huenda akiliendesha huku akilia kama gari, lakini gari hilo hutembea kadri anavyolisukuma.

Sasa angalia ngazi hizi tatu za utendaji halafu utajua kuwa kuna mtiririko wa aina ya kipekee lakini wa kweli. Sasa huko juu weka hizo NGUVU ZA LAZIMA KUWEPO ambazo zinakuendesha wewe kama ambavyo binadamu anaendesha gari.Zipe majina yote unyotaka likwemo la "SUPERNATURAL" na hapo utamkuta ndipo MUNGU wako alipo, wewe nawe ni mungu wa gari lako, na mtoto ni mungu wa gari lake etc.

Utashangaa gari la miti halimjui mtoto anayeliendesha, na gari lako halikujui wewe, linahitaji petroli tu, sasa kwa mfumo huo huo na wewe humjui Mungu wako, lakini kwa sababu Mungu alikupenda akakupa uzima na akli ya kujua na kutambua ndipo akajitambulisha kwako kupitia vitabu vitakatifu kama BIBLIA NA KORANI.

Kubali haya kwa kufuata usemi wa "LISEMWALI LIPO KAMA HALIPO LAJA". HEKIMA HULITHIWA, USIWE MJINGA UKAJAPOTEA KWA SABABUI YA kuacha kuamini. Tambua maana na umuhimu wa KUAMINI.
 
Mimi nauliza tu,sote hatuwezi kuikataa sayansi hii iliyoumba dunia na yaliyomo.tuweke dini kando halafu kama mtu huru jiulize tu,ni kipi reasonable kuamini,kwamba yupo aliyeumba haya au yamejitokea tu yenyewe?kwangu mie tafadhali usiniambie eti nimetokea tuu,tokea tuu kla klaa.. juve huyu hapa!nitake radhi aisee, haya ni matusi makubwa.
 
Niwaimbie nyimbo gani jamaa zangu wa "hakuna Mungu"?ngoja leo niporomoshe reggae ya Ziggie Marley ..."tomorrow people,where is your past?,tomorrow people,how long will you last?..today you say you deyah,tomorrow you say you're gone,but you're gone so long,if there is no love (GOD) in your heart,so sorry,there is no hope for you,true,true..you don't know your past,you dont know your future.."
 
Unajua kwa nn mpaka leo hakuna toleo jipya wala maongezo katika vitabu vya dini??.Jiulize je wanaruhusu??,je walioandika waliacha mwanya huo??,je hakuna mistar pale inayokataza kuongeza chochote??bila shaka ipo.
Wanasayansi kama akina Albert Stein walipokuwa wakimalizia ugunduz wao walikomment kwamba ""wajao wataendelea kuanzia hapa"",ama walisema "sayansi ikikuwa kutapatikana ufumbuz.'".Lakini katika swala la imani mwanya huo haukuwepo kabisa.Na ndo mana hakuna aliyeweza kuongeza.We unaona sawa koran na Bible kujaa tamaduni za zamani na historia za maisha ya watu wa Mashariki ya Kati??.,Je unajua kwa nn mnaowaita mizume na manabii wote walitika Mashariki ya Kati??,kwa nn sio South amerika,Asia,Canada ama Australia??.

Ubaguz na maanisha ubaguz wa matabaka na mkabila,na imani,Kwa nn huyo mungu nae awe mbaguzi??,kwa nn awape kitabu kinacho lazimisha mambo?.Kwa nn ajenge chuji kwa wale wasio pamoja nanyi,Maana ya neno ""KAFIRI"",n nn?,kwa nn kuwe na kafiri na asiye kafiri.??
Mapokeo ni mambo yaliyopokelewa kutoka kizazi kimoja hadi kingine kwa njia ya masimuzi ya mdomo ama tamaduni ama chochote kiluchorithishwa kizazi hadi kizazi.
Bogus reply
203606_122309861198918_5914829_n_400x400.jpg
 
Back
Top Bottom