Chanzo cha viumbe vyote(Kisayansi)

Chanzo cha viumbe vyote(Kisayansi)

wewe nature ni nini?utupu huwezi kueleza nonsense huamini mchango wa ninii?utupu ukoje ka we mwanaume..?

Ka mi mwanaume??,,unadhani nikikujibu maana ya utupu ndo ntathibitisha uanaume wangu??,una uhakika gani kwamba mi ni mwanaume??,
Mimi najadili mada bila uoga wa chochote,we unajadili huku ukiwa na uoga wa MUNGU(kama yupo).Kwa namna hiyo hatutafika labda ubadilike.Kama hata NATURE unasema kuabudu,kaz ipo
 
Nikijiuliza sana sipati jibu.
Nikisema Mungu hayupo siwezi kuthibitisha kutokwepo kwake.
Na nikisema yupo siwezi kuonyesha yuko wapi.

Mi naamini Mungu yupo ila siwezi kueleza yuko wapi,na sitaki maswali.
 
we ni shoga huna hoja jibu maswali mbona unakimbias
 
ntakuambia
 
we ni shoga huna hoja jibu maswali mbona unakimbias

Unazidi kuthibitisha ulivo na upeo mdogo wa kufikiri.Mungu wako kakuongoza unitukane mimi shoga!!?,.Mi nikiwa shoga na yule askofu shoga muangrikana unayemetemea akuoneshe njia ya kumfuata mungu atakuwa nani??,Sina haja ya kupoteza muda na -------- KAMA WEWE.sitakujibu comment yako huwa siongei na wajinga kama wewe.
 
Hizo nishati hazipo kwenye sayari nyingine? Kama Mars mbona hakuna viumbe huko, wala miti au mito e.t.c.
 
Nikijiuliza sana sipati jibu.
Nikisema Mungu hayupo siwezi kuthibitisha kutokwepo kwake.
Na nikisema yupo siwezi kuonyesha yuko wapi.

Mi naamini Mungu yupo ila siwezi kueleza yuko wapi,na sitaki maswali.

Umewahi jiuliza akili au hekima ilitoka wapi hadi wewe ukawa nayo. Au waamini ni matokeo ya evolution ? Sijazungumzia uhai na chanzo chake...
Kujua uwepo wa mtendaji nyuma ya wewe kuwa ulivyo ni ujuzi wa kuwepo kwa Mungu. Labda kama wajua vinginevyo
 
We kijana nina mashaka na uwelewa wako. Mbona unajicontradict mwenyewe? Wewe unasema viumbe vimetokea due to the reactions of energies that you don't know even the source of those energies. Then unasema unaamini Mungu yupo. Kwahiyo Mungu yupo lakini hajaumba viumbe?
You have failed to defend what you have started. Hili ni jukwaa la great thinkers bana. Bora ungeuliza uwelekezwe kuliko kuongea kitu ambacho hata mwenyewe hukijui.
Kajipange.....

Mungu siku zote hapendi jina lake lichafuliwe mbele za watu na wakati mwingine huwa anatoa adhabu kali kwa wanao mzunguzia vibaya .Ndiyo maana ninasema naamini MUNGU YUPO na yeye ndo chanzo cha hizo nishati lakini mimi sikutaka kulizungumzia suala hili kiroho bali nataka kulichimbua swala hili kisayansi zaidi kuchimbua swala hili sio kosa kosa ni KUMKUFURU NA KUFANYA DHIHAKA MUNGU ndiyo maana nimesema chanzo cha viumbe vyote kisayansi zaidi.Sasa baada ya watu tushirikane kwa pamoja kulichimba hili swala bila kumkufuru MUNGU ninashambu
 
Ninashambuliwa kwa maswali najaribu kuwajibu wanazalisha mengine kumbukeni sisi binadamu uwezo wetu wa kufikiria na kutafakari mambo umewekewa mipaka hatuna njia yoyote ya kufunua ukweli wa mambo zaidi ya ku ASSUME kutokana na ushahidi uliopo.Na kunamsemo unasema SOME TIME ASSUMPTION BRING REALITY haya niliyo yasema ukifikiria juujuu huwezi kuelewa ila nitajaribu kutumia lugha rahisi inayoeleweka haraka kadiri niwezavyo.
 
MTAZAMO WANGU Kutokana na tafiti ndogo nilizo ninadhani mwanzo kabisa kabla ya kuwepo chochote kulikuwa hakuna kitu yaani utupu.

Katika huu utupu kulikuwa na Nguvu au nishati isiyo umbwa ya NISHATI YA BARIDI na umeme na nyinginezo

Kwa hiyo hizi nishati zisizo umbwasiku hadi siku zilikuwa katika hali ya mabadiliko jambo liliko sababisha kuongeza ku umbika kwa nishati au vitu vingine vinavyo umbika vyenyewe kulikuwa na vitu ambavyo vilikuwa vinaumbika AUTOMATIC.

.Na hisi kabisa mwanzo kabisa kulikuwa na utupu katika huo utupu kulikuwa na nishati mbalimbali zilizo kuwepo. Muunganiko wa hizo nishati ulisababisha utokeaji wa viumbe mbalimbali
Mimi mwanzoni kabisa ya ulimwengu kulikuwa kuna utupu. Baada ya utupu kukaa kwa muda mrefu vitu vyenyewe vikaanza kuumbika automatic.

Mkuu SAYANSIKIMU,

Pongezi kwa kujitahidi kuwaza na kuleta mada. Kimsingi wengi wa wenye kuegemea mlango huu uliochukua wa kwamba (i) vitu vimejiunda vyenyewe AUTOMATICALLY/ by CHANCE mwishoni huwa wanashindwa ku-explain order tunayoikuta kwenye all matter kuanzia a tiny ATOM hadi planets na galaxies na biological systems. Kifupi ni kuwa kama matter iliyotuzunguka ingejiumba yenyewe AUTOMATICALLY, basi for sure tungeshuhudia CHAOS nyingi kwa vile kusingekuwa na kule kutulia (equilbrium) tunayoiona (ii) lengo kuu la mlengo huu ni MWISHOWE kukataa kuwa kuna MUUMBAJI. Ila sielewi jinsi ambavyo ukirudi nyumbani kwako, ukaikuta sahani ya wali kitandani katikati kama itakuwa busara kuamua kuwa hiyo sahani na huo wali vimefika chumbani na kitandani kwako BY CHANCE!!!!!

Dosari ambayo huwa naiona inajitokeza kila mara katika mada za upande huu ni kule kukosekana maelezo yanajitosheleza ya kueleza kwanini tuna ORDER kwenye kila kitu kiasi kuwa hata maisha yetu tuna desturi ya kujiwekea taratibu.

Hongera kwa mada tamu. Tuendelee kuchangia.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwa nini mtu aanzishe uzi wa kitu asichokijua wala hana uwezo wa kujua? Kwa nini asituambie tu what is life huko kwingine tujaze wenyewe?
 
Lazima tukubali ya kwamba lazima mwanzo kabisa kulikuwa na hakuna kitu lakini katika halihii ya kutokuwa hakuna kitu Kulikuwa na nguvu au nishati iliyo umbika Automatically kutokana na mabadiliko yaliyokuwa yanatokea yenyewe siku hadi siku.Combination hizi nishati zilikuwa zinazidi kusababisha uongezekaje wa nishati nyingine .Na combination ya baadhi ya nishati hizi ulisababisha utokeaji wa vitu.

SAYANSIKIMU
hapa ndipo utaona mfano mzuri wa yale niliyotangulia kueleza. Kwetu sisi kipimo cha SIKU HADI SIKU (iam sure you meant as time went on) ni function ya matumizi ya planetary bodies (either Jua au Mwezi) ili upate muda. Kwa hiyo ukishaanza na kuwa HAKUKUWA NA KITU, that will include TIME itself. Ukiweka kuwa kulikuwa na NGUVU hapo umeleta MATTER KWENYE HIYO vaccum.

Ugumu wa position yako (na kwa kweli nakusifu kwa ujasiri), ni kuwa hutaweza kueleza NINI kimeleta hiyo NGUVU (is it TIME?), na kama ni time, jee TIME iliitoa wapi hii MATTER? Na chanzo cha hiyo time ni nini? Au ndiyo Nature? Pia hutaweza kueleza dimension ya TIME nje ya objects za kui-refer ili kuipa measurements kama universe yote HAIPO.

Mi nadhani hii topic sio rahisi. Ila sidhani kama ni uungwana kumtolea mleta mada maneno makali. Uelewa wangu hii ni scientific forum.
 
Last edited by a moderator:
HAKUNA KITU WALA MTU ALIYEKAA NA KUSEMA KWAMBA HIKI KIWE NA HIKI KISIWE,i mean i dont believe in ANYTHING

Free ideas,
Shukran kwa mchango wako. Nauliza ili tusonge mbele, Hivi ni kwanini: nyumba, magari, ndege, viatu, bunduki, barabara, hata madikodiko (soda, biriani etc) nk zote huwa zinaandiliwa plan kabla ya kutengenezwa?
 
Last edited by a moderator:
kuna uwezekano mkubwa kwa mgandamizo wa hewa ndo chanzo cha kutokea viumbe 2kiwemo binadamu e.g kwenye vidole ukiva soksi zenye maji na uvae vi2 kwa masaa kaza kutakua na bacteria kutokana na joto.So naunga mkono mada
 
We kijana nina mashaka na uwelewa wako. Mbona unajicontradict mwenyewe? Wewe unasema viumbe vimetokea due to the reactions of energies that you don't know even the source of those energies. Then unasema unaamini Mungu yupo. Kwahiyo Mungu yupo lakini hajaumba viumbe?
You have failed to defend what you have started. Hili ni jukwaa la great thinkers bana. Bora ungeuliza uwelekezwe kuliko kuongea kitu ambacho hata mwenyewe hukijui.
Kajipange.....

My point.. Hapo mwanzo kulikuwepo neno(Kristo/nguvu/nishati inayoongelewa) nae neno(Kristo/nishati inayoongelewa) alikuwepo kwa Mungu nae neno alikuwa Mungu...na vitu vyote vilumbwa kutoka kwa huyo neno (Kristo/nishatiinayoongelewa)...nae neno akavaa mwili akakaa kwetu....na tuumbe mwanadam kwa mfano wetu ( God Father, son, holy spirit)

Kwa hiyo hata ss ni miungu.. ile nguvu(nishati inayoongelewa) imo ndani yetu ndo maana unakuta mtu anameditate hadi anaelea hewani.

Hitimisho:Nishati inayoongelewa na sayansi ndo Mungu...hana mwanzo wala mwisho,,,sayansi na dini ni kitu kilekile, ila kimoja kimetangulia mbele zaid ya mwenzake,,, SOMA 'Angels and Demons' by Dan Brown
 
Mkuu SAYANSIKIMU,

Pongezi kwa kujitahidi kuwaza na kuleta mada. Kimsingi wengi wa wenye kuegemea mlango huu uliochukua wa kwamba (i) vitu vimejiunda vyenyewe AUTOMATICALLY/ by CHANCE mwishoni huwa wanashindwa ku-explain order tunayoikuta kwenye all matter kuanzia a tiny ATOM hadi planets na galaxies na biological systems. Kifupi ni kuwa kama matter iliyotuzunguka ingejiumba yenyewe AUTOMATICALLY, basi for sure tungeshuhudia CHAOS nyingi kwa vile kusingekuwa na kule kutulia (equilbrium) tunayoiona (ii) lengo kuu la mlengo huu ni MWISHOWE kukataa kuwa kuna MUUMBAJI. Ila sielewi jinsi ambavyo ukirudi nyumbani kwako, ukaikuta sahani ya wali kitandani katikati kama itakuwa busara kuamua kuwa hiyo sahani na huo wali vimefika chumbani na kitandani kwako BY CHANCE!!!!!

Dosari ambayo huwa naiona inajitokeza kila mara katika mada za upande huu ni kule kukosekana maelezo yanajitosheleza ya kueleza kwanini tuna ORDER kwenye kila kitu kiasi kuwa hata maisha yetu tuna desturi ya kujiwekea taratibu.

Hongera kwa mada tamu. Tuendelee kuchangia.

Hongera mkuu kwa maelezo mazuri,lakini kumbuka unaposema upande wetu wa Sayansi huwa tunakosa majibu sahihi mwisho usisahau pia kwamba MUNGU Haelezeki kama cc tunavojitahidi kueleza chanzo cha uhai na dunia pia.mungu anaelezeka pale tu watu wanapokubali kujazwa UOGA na hofu kuu.karibu
 
Last edited by a moderator:
Free ideas,
Shukran kwa mchango wako. Nauliza ili tusonge mbele, Hivi ni kwanini: nyumba, magari, ndege, viatu, bunduki, barabara, hata madikodiko (soda, biriani etc) nk zote huwa zinaandiliwa plan kabla ya kutengenezwa?

Vitu kuandaliwa plani kabla ya kutengenezwa haimaanishi kuna kuna MUNGU !!,wala haimaanishi hapo mwanzo kuna mtu ama kitu kilifanya plani ya kuumba.

Kufanya plani ni mojawapo ya njia za watu kuyakabili mazingira.Mtu hufikiri kila kikicha nini cha kufanya ili kuyakabili mazingira.

Nikuulize maswali,japo sijajua we dini gani.lakini sio hoja nailiza tu,Dini ama imani yako inazungumziaje Historia,mfano inasema nini kuhusu ICE AGE,STONE AGE,IRON AGE??,ama kidini havikuwepo??,je unakibaliana na mabadiliko ya kigeogradia yaliyotokea katika uso wa dunia mpaka kufika hapa ??,
Je mungu aliumba dunia ikiwa na sura gani?? Je Adam na hawa walikiwa na mwonekano upi??asante
 
Back
Top Bottom