Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,497
- 2,026
wewe nature ni nini?utupu huwezi kueleza nonsense huamini mchango wa ninii?utupu ukoje ka we mwanaume..?
Ka mi mwanaume??,,unadhani nikikujibu maana ya utupu ndo ntathibitisha uanaume wangu??,una uhakika gani kwamba mi ni mwanaume??,
Mimi najadili mada bila uoga wa chochote,we unajadili huku ukiwa na uoga wa MUNGU(kama yupo).Kwa namna hiyo hatutafika labda ubadilike.Kama hata NATURE unasema kuabudu,kaz ipo
Nikijiuliza sana sipati jibu.
Nikisema Mungu hayupo siwezi kuthibitisha kutokwepo kwake.
Na nikisema yupo siwezi kuonyesha yuko wapi.
Mi naamini Mungu yupo ila siwezi kueleza yuko wapi,na sitaki maswali.
we ni shoga huna hoja jibu maswali mbona unakimbias
utupu ukoje prove
Nikijiuliza sana sipati jibu.
Nikisema Mungu hayupo siwezi kuthibitisha kutokwepo kwake.
Na nikisema yupo siwezi kuonyesha yuko wapi.
Mi naamini Mungu yupo ila siwezi kueleza yuko wapi,na sitaki maswali.
We kijana nina mashaka na uwelewa wako. Mbona unajicontradict mwenyewe? Wewe unasema viumbe vimetokea due to the reactions of energies that you don't know even the source of those energies. Then unasema unaamini Mungu yupo. Kwahiyo Mungu yupo lakini hajaumba viumbe?
You have failed to defend what you have started. Hili ni jukwaa la great thinkers bana. Bora ungeuliza uwelekezwe kuliko kuongea kitu ambacho hata mwenyewe hukijui.
Kajipange.....
Mungu siku zote hapendi jina lake lichafuliwe mbele za watu na wakati mwingine huwa anatoa adhabu kali kwa wanao mzunguzia vibaya .Ndiyo maana ninasema naamini MUNGU YUPO na yeye ndo chanzo cha hizo nishati lakini mimi sikutaka kulizungumzia suala hili kiroho bali nataka kulichimbua swala hili kisayansi zaidi kuchimbua swala hili sio kosa kosa ni KUMKUFURU NA KUFANYA DHIHAKA MUNGU ndiyo maana nimesema chanzo cha viumbe vyote kisayansi zaidi.Sasa baada ya watu tushirikane kwa pamoja kulichimba hili swala bila kumkufuru MUNGU ninashambu
MTAZAMO WANGU Kutokana na tafiti ndogo nilizo ninadhani mwanzo kabisa kabla ya kuwepo chochote kulikuwa hakuna kitu yaani utupu.
Katika huu utupu kulikuwa na Nguvu au nishati isiyo umbwa ya NISHATI YA BARIDI na umeme na nyinginezo
Kwa hiyo hizi nishati zisizo umbwasiku hadi siku zilikuwa katika hali ya mabadiliko jambo liliko sababisha kuongeza ku umbika kwa nishati au vitu vingine vinavyo umbika vyenyewe kulikuwa na vitu ambavyo vilikuwa vinaumbika AUTOMATIC.
.Na hisi kabisa mwanzo kabisa kulikuwa na utupu katika huo utupu kulikuwa na nishati mbalimbali zilizo kuwepo. Muunganiko wa hizo nishati ulisababisha utokeaji wa viumbe mbalimbali
Mimi mwanzoni kabisa ya ulimwengu kulikuwa kuna utupu. Baada ya utupu kukaa kwa muda mrefu vitu vyenyewe vikaanza kuumbika automatic.
Lazima tukubali ya kwamba lazima mwanzo kabisa kulikuwa na hakuna kitu lakini katika halihii ya kutokuwa hakuna kitu Kulikuwa na nguvu au nishati iliyo umbika Automatically kutokana na mabadiliko yaliyokuwa yanatokea yenyewe siku hadi siku.Combination hizi nishati zilikuwa zinazidi kusababisha uongezekaje wa nishati nyingine .Na combination ya baadhi ya nishati hizi ulisababisha utokeaji wa vitu.
HAKUNA KITU WALA MTU ALIYEKAA NA KUSEMA KWAMBA HIKI KIWE NA HIKI KISIWE,i mean i dont believe in ANYTHING
We kijana nina mashaka na uwelewa wako. Mbona unajicontradict mwenyewe? Wewe unasema viumbe vimetokea due to the reactions of energies that you don't know even the source of those energies. Then unasema unaamini Mungu yupo. Kwahiyo Mungu yupo lakini hajaumba viumbe?
You have failed to defend what you have started. Hili ni jukwaa la great thinkers bana. Bora ungeuliza uwelekezwe kuliko kuongea kitu ambacho hata mwenyewe hukijui.
Kajipange.....
Mkuu SAYANSIKIMU,
Pongezi kwa kujitahidi kuwaza na kuleta mada. Kimsingi wengi wa wenye kuegemea mlango huu uliochukua wa kwamba (i) vitu vimejiunda vyenyewe AUTOMATICALLY/ by CHANCE mwishoni huwa wanashindwa ku-explain order tunayoikuta kwenye all matter kuanzia a tiny ATOM hadi planets na galaxies na biological systems. Kifupi ni kuwa kama matter iliyotuzunguka ingejiumba yenyewe AUTOMATICALLY, basi for sure tungeshuhudia CHAOS nyingi kwa vile kusingekuwa na kule kutulia (equilbrium) tunayoiona (ii) lengo kuu la mlengo huu ni MWISHOWE kukataa kuwa kuna MUUMBAJI. Ila sielewi jinsi ambavyo ukirudi nyumbani kwako, ukaikuta sahani ya wali kitandani katikati kama itakuwa busara kuamua kuwa hiyo sahani na huo wali vimefika chumbani na kitandani kwako BY CHANCE!!!!!
Dosari ambayo huwa naiona inajitokeza kila mara katika mada za upande huu ni kule kukosekana maelezo yanajitosheleza ya kueleza kwanini tuna ORDER kwenye kila kitu kiasi kuwa hata maisha yetu tuna desturi ya kujiwekea taratibu.
Hongera kwa mada tamu. Tuendelee kuchangia.
Free ideas,
Shukran kwa mchango wako. Nauliza ili tusonge mbele, Hivi ni kwanini: nyumba, magari, ndege, viatu, bunduki, barabara, hata madikodiko (soda, biriani etc) nk zote huwa zinaandiliwa plan kabla ya kutengenezwa?