Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,497
- 2,026
Hayupo wapi? How did you come to that?
Prove to me that "HAYUPO"
Give me airtight evidences to support that "hayupo" na kwanini hayupo?
JIBU HAYO MASWALI AND STOP Blahing blahingMungu ni Uoga wa mtu,pale anapofikia mwisho w kufikiri.Cc watu ndo tunamuumba MUNGU na sio mungu kutuumba cc
JIBU HAYO MASWALI AND STOP Blahing blahing
Hayupo wapi? How did you come to that?
Prove to me that "HAYUPO"
Give me airtight evidences to support that "hayupo" na kwanini hayupo?
Nitaprove vip kitu ambacho HAKIPO??,kati ya mimi na wewe nani anatakiwa kuprove??? ,Nikisema hakuna we ukisema kipo nani anatakaiwa aprove!!??
Mungu ni Uoga wa mtu,pale anapofikia mwisho w kufikiri.Cc watu ndo tunamuumba MUNGU na sio mungu kutuumba cc
Hongera kwa kujitahid kueleza. Maelezo ya dini huwa yanakosa uhalisia linapokuja swala la kuthibitisha uwepo wa MUNGU!.,dini haiwez kabisa kueleza chanzo cha mungu,zaidi ya kuwaaminisha watu kwamba yupo .
Hapa nadhani ndipo wenzetu atheists mnapotushangaza. Dini kazi yake sio kueleza CHANZO CHA MUNGU. Na wala Mungu alikotoka sio agenda ya waumini. Kumbe, Ujue CHANZO cha MUNGU Ili IWEJE?
Na hakika nakwambia siku dini ikieleza chanzo cha MUNGU(bila kutumia ile misemo kwamba,yeye aliye,mara et hakuanza wala hana mwisho,mara sijui neno),sikihiyo nitaamini uwepo wa mungu!
out of topic plz
hivi ukipost mada jukwaa hili !
Mpaka zichunguzwe ndipo zinawekwa au? Inakuwaje
Na hakika nakwambia siku dini ikieleza chanzo cha MUNGU(bila kutumia ile misemo kwamba,yeye aliye,mara et hakuanza wala hana mwisho,mara sijui neno),sikihiyo nitaamini uwepo wa mungu!
Nitaprove vip kitu ambacho HAKIPO??,kati ya mimi na wewe nani anatakiwa kuprove??? ,Nikisema hakuna we ukisema kipo nani anatakaiwa aprove!!??
Mungu yupi,muelezee hapa,aliumba lini??,na alikuwa wapi wakati anaumba na chanzo chake yeye ni nn??,(usinambie mambo ya hakuanza na hana mwisho).
Kati ya mimi na wewe nani anatakiwa atoe ushahidi wa kuwepo kwa mungu??,we unayesema yupo ama mimi ninayesema hayupoYou are a believer who is believing in no God. ..and you can not support what you BELIEVE.
Mungu ninayemsema hapa ni Mungu aliyetuumba sisi kama alivyowaumba Adam na Hawa/Eve, mwenye uwezo wa kukufisha na kukuhuisha.
Kama nitalazimika kusema uumbaji wake wa ulimwengu ulikuaje ni lazima nihusishe vitabu vya dini, Quran imeeleza namna gani Ulimwengu uliumbwa. Wanasayansi waliokuja na hoja za uumbaji wa ulimwengu si wa kongwe kama Quran iliyoshushwa tangu Karne ya 7. Na imeeleza kwa namna gani ulimwengu uliumbwa. Kwa karne ya 7 isingekuwa rahisi kuishi mtu mwenye maarifa makubwa kama yaliyoonekana katika Quran yakieleza namna ulimwengu ulivyoumbwa. Naamini maarifa hayo ni ya Mungu peke yake alipokuwa akitanabaisha namna alivyouumba ulimwengu.
Wasio amni husema Quran ni maneno ya Mtume Muhammad (SAW), jambo ambalo sio kweli, kwani asingeweza kuwa na maarifa ya namna ulimwengu ulivyoumbwa kama hakuambiwa na Mungu mwenyewe ili awafikishie wanaadamu namna ambavyo aliumba ulimwengu.
Kuhusu Mungu alikuwa wapi wakati anaumba ulimwengu, mimi sijui (Yeye mwenyewe ndo anaejua). Baada ya wanasayansi kuanza kutafiti ulimwengu uliumbwaje, walipata kufanana na namna gani Quran ilieleza ulimwengu ulivyoumbwa. Hoja za Big Bang theory zilimezwa na hoja za kwenye Quran ya karne ya 7.
Ukipitia link hapo chini unaweza kuona mengi zaidi juu ya nilichodokeza.
Quran-Islam.org - True Islam
Kati ya mimi na wewe nani anatakiwa atoe ushahidi wa kuwepo kwa mungu??,we unayesema yupo ama mimi ninayesema hayupo
Talking about ushaidi, you as a believer of no God you should be able to support your "notions". Unless you are just a blind follower of believing in no God. Are you?
Do you BELIEVE there is no God or are you certain there is no God? Which one comes first?
May you make me believe in Gid!,please tell me about your God,who is he??, where he lives??,how he/she looks like??,,Have u ever seen him or u are believing?? And what makes u believe that there is God.??,