Chanzo cha viumbe vyote(Kisayansi)

Chanzo cha viumbe vyote(Kisayansi)

Hayupo wapi? How did you come to that?

Prove to me that "HAYUPO"

Give me airtight evidences to support that "hayupo" na kwanini hayupo?

Mungu ni Uoga wa mtu,pale anapofikia mwisho w kufikiri.Cc watu ndo tunamuumba MUNGU na sio mungu kutuumba cc
 
JIBU HAYO MASWALI AND STOP Blahing blahing

Hayupo wapi? How did you come to that?

Prove to me that "HAYUPO"

Give me airtight evidences to support that "hayupo" na kwanini hayupo?
 
JIBU HAYO MASWALI AND STOP Blahing blahing

Hayupo wapi? How did you come to that?

Prove to me that "HAYUPO"

Give me airtight evidences to support that "hayupo" na kwanini hayupo?

Nitaprove vip kitu ambacho HAKIPO??,kati ya mimi na wewe nani anatakiwa kuprove??? ,Nikisema hakuna we ukisema kipo nani anatakaiwa aprove!!??
 
Hongera kwa kujitahid kueleza. Maelezo ya dini huwa yanakosa uhalisia linapokuja swala la kuthibitisha uwepo wa MUNGU!.,dini haiwez kabisa kueleza chanzo cha mungu,zaidi ya kuwaaminisha watu kwamba yupo .

Hapa nadhani ndipo wenzetu atheists mnapotushangaza. Dini kazi yake sio kueleza CHANZO CHA MUNGU. Na wala Mungu alikotoka sio agenda ya waumini. Kumbe, Ujue CHANZO cha MUNGU Ili IWEJE?
 
Na hakika nakwambia siku dini ikieleza chanzo cha MUNGU(bila kutumia ile misemo kwamba,yeye aliye,mara et hakuanza wala hana mwisho,mara sijui neno),sikihiyo nitaamini uwepo wa mungu!
 
out of topic plz

hivi ukipost mada jukwaa hili !
Mpaka zichunguzwe ndipo zinawekwa au? Inakuwaje
 
Nimejibu swali la mdau,so usishangae.kuhusu kukaguliwa post nadhan itakuwa hivo
 
Na hakika nakwambia siku dini ikieleza chanzo cha MUNGU(bila kutumia ile misemo kwamba,yeye aliye,mara et hakuanza wala hana mwisho,mara sijui neno),sikihiyo nitaamini uwepo wa mungu!

Haijawa tatizo kwa vile kuwa atheist pia ni kufuata imani ambayo pia huwezi kuitolea chanzo thabit zaidi ya kujificha kwenye manunguniko dhidi ya imani za wengine.

Ukitumia neno sikuni yaleyale. Siku ni product ya time, na time ni product ya position yetu to the planetary objects zilizotunguka, wewe unataka kutuambia zote hizo zipo zipo tu tena BY CHANCE wakati unaona vitu kama agricultural seasons zina perfect order na hata sisi wenyewe tunajiwekea UTARATIBU KILA MAHALI. Hapana Mkuu, lete lingine. Hili haliingii kichwani.

Mkuu, katika ujenzi, kama wenzako na majirani hawajamwelezea vizuri FUNDI aliyewajengea haina maana FUNDI huyo hayupo. Ila hukatazwi kujifariji na fikra zako. Lakini wengine tunajua fika kuwa haya yaliyotuzunguka yana FUNDI wake!!!!! Jina la fundi wewe ita utakavyo. Mtaa aliozaliwa sisi wengine hautusaidii na hatutaki kujua. Yatutosha ukarimu wake wa kutupa milki yake tupate mahitaji yetu
 
Nitaprove vip kitu ambacho HAKIPO??,kati ya mimi na wewe nani anatakiwa kuprove??? ,Nikisema hakuna we ukisema kipo nani anatakaiwa aprove!!??

You are a believer who is believing in no God. ..and you can not support what you BELIEVE.
 
Mungu yupi,muelezee hapa,aliumba lini??,na alikuwa wapi wakati anaumba na chanzo chake yeye ni nn??,(usinambie mambo ya hakuanza na hana mwisho).

Mungu ninayemsema hapa ni Mungu aliyetuumba sisi kama alivyowaumba Adam na Hawa/Eve, mwenye uwezo wa kukufisha na kukuhuisha.

Kama nitalazimika kusema uumbaji wake wa ulimwengu ulikuaje ni lazima nihusishe vitabu vya dini, Quran imeeleza namna gani Ulimwengu uliumbwa. Wanasayansi waliokuja na hoja za uumbaji wa ulimwengu si wa kongwe kama Quran iliyoshushwa tangu Karne ya 7. Na imeeleza kwa namna gani ulimwengu uliumbwa. Kwa karne ya 7 isingekuwa rahisi kuishi mtu mwenye maarifa makubwa kama yaliyoonekana katika Quran yakieleza namna ulimwengu ulivyoumbwa. Naamini maarifa hayo ni ya Mungu peke yake alipokuwa akitanabaisha namna alivyouumba ulimwengu.

Wasio amni husema Quran ni maneno ya Mtume Muhammad (SAW), jambo ambalo sio kweli, kwani asingeweza kuwa na maarifa ya namna ulimwengu ulivyoumbwa kama hakuambiwa na Mungu mwenyewe ili awafikishie wanaadamu namna ambavyo aliumba ulimwengu.

Kuhusu Mungu alikuwa wapi wakati anaumba ulimwengu, mimi sijui (Yeye mwenyewe ndo anaejua). Baada ya wanasayansi kuanza kutafiti ulimwengu uliumbwaje, walipata kufanana na namna gani Quran ilieleza ulimwengu ulivyoumbwa. Hoja za Big Bang theory zilimezwa na hoja za kwenye Quran ya karne ya 7.
Ukipitia link hapo chini unaweza kuona mengi zaidi juu ya nilichodokeza.

Quran-Islam.org - True Islam
 
You are a believer who is believing in no God. ..and you can not support what you BELIEVE.
Kati ya mimi na wewe nani anatakiwa atoe ushahidi wa kuwepo kwa mungu??,we unayesema yupo ama mimi ninayesema hayupo
 
Mtume Mohammed kuwa na maarifa sio jambo la ajabu sana kwa maana inawezekana pia!!,binafsi naamini mtazamo wa uumbaji katika koran ni wa kisayansi na kiimani,kwa hiyo sio jambo la kushangaza sana.
Hoja ya big bang inaelezeka na kuprovika lakini koran inakuaminisha na haikupi. NAfAsi ya kuhoji
 
Kati ya mimi na wewe nani anatakiwa atoe ushahidi wa kuwepo kwa mungu??,we unayesema yupo ama mimi ninayesema hayupo

Talking about ushaidi, you as a believer of no God you should be able to support your "notions". Unless you are just a blind follower of believing in no God. Are you?

Do you BELIEVE there is no God or are you certain there is no God? Which one comes first?
 
May you make me believe in Gid!,please tell me about your God,who is he??, where he lives??,how he/she looks like??,,Have u ever seen him or u are believing?? And what makes u believe that there is God.??,
 
You are a BELIEVER of NO GOD, unless you tell me you are sure He is not there, which I KNOW YOU CAN NOT PROVE TO ME THAT HE IS NOT THERE.

You as a believer of NO GOD, should be able to support what you BELIEVE. Unless you are just a BLIND FOLLOWER of a cult which believes in no God. It is sad and shame.
 
Back
Top Bottom