Chanzo cha viumbe vyote(Kisayansi)

Chanzo cha viumbe vyote(Kisayansi)

Unamuunga mkono kwa kutype hayo maneno yako ya ''namuunga mkono'', kivipi?

HAKUNA KITU WALA MTU ALIYEKAA NA KUSEMA KWAMBA HIKI KIWE NA HIKI KISIWE,i mean i dont believe in ANYTHING
 
HAKUNA KITU WALA MTU ALIYEKAA NA KUSEMA KWAMBA HIKI KIWE NA HIKI KISIWE,i mean i dont believe in ANYTHING

That means unakubaliana kuwa viumbe chimbuko lake ni nishati alizozitaja mtoa mada? Nishati alizozitaja mtoa mada ni baridi na umeme. Do you agree with him?
 
That means unakubaliana kuwa viumbe chimbuko lake ni nishati alizozitaja mtoa mada? Nishati alizozitaja mtoa mada ni baridi na umeme. Do you agree with him?

Inaweza kuwa mojawapo y visababishi ambavyo vinapelekea uhai ama kutokea kwa viumbe,namsapoti kwa sababu Siamini kazika falsafa zaa kidini kwama tuliumbwa
 
Mtoa mada Nenda katubu kwa Mungu wako haraka sana, ushauri tu lakini
 
Mkuu si semi kwamba MUNGU HAYUPO na amini ya kwamba MUNGU YUPO .

We kijana nina mashaka na uwelewa wako. Mbona unajicontradict mwenyewe? Wewe unasema viumbe vimetokea due to the reactions of energies that you don't know even the source of those energies. Then unasema unaamini Mungu yupo. Kwahiyo Mungu yupo lakini hajaumba viumbe?
You have failed to defend what you have started. Hili ni jukwaa la great thinkers bana. Bora ungeuliza uwelekezwe kuliko kuongea kitu ambacho hata mwenyewe hukijui.
Kajipange.....
 
Inaweza kuwa mojawapo y visababishi ambavyo vinapelekea uhai ama kutokea kwa viumbe,namsapoti kwa sababu Siamini kazika falsafa zaa kidini kwama tuliumbwa

Utasapoti vipi kitu ambacho hukijui freeideas? Ningekuona una hoja kama ungekuwa mmoja wapo wakutaka kujua ni kivipi hizo nishati zimepelekea kutokea kwa viumbe, but hauoneshi hata dalili yakutaka kujua zaid ya kusupport ma kukandia dini. You are bias against religion without supporting reasons
 
mtoa mada hajui tofauti ya chanzo na matokeo ya chanzo.
 
Utasapoti vipi kitu ambacho hukijui freeideas? Ningekuona una hoja kama ungekuwa mmoja wapo wakutaka kujua ni kivipi hizo nishati zimepelekea kutokea kwa viumbe, but hauoneshi hata dalili yakutaka kujua zaid ya kusupport ma kukandia dini. You are bias against religion without supporting reasons

Nice,mkuu,nikuulize swali??,unaamini katika uumbaji??,em nifahamishe kwa point hai niweze kuelewa.
MIMI SIAMINI KATIKA UWEPO WA POWER AMA NGUVU YOYOTE ILE,karibu sana ,nawapenda sana watu kama nyie mnaokariri mafundisho ya mapadri na mapastor bila kujiongeza,.ONDOA UOGA WA DHAMBI KISHA TUJADILI MADA HII KWA MAPANA
 
Ujue kuna vitu vingine watu wanavyobisha humu siyo kabisa.Wakuu nini kinacho sababisha huu utata .Ujue kila kitu humu duniani kinachanzo chake HUWEZI KUNIAMBIA HAPO MWANZO KULIKUWA NA KITU Je hicho kitu unacho amini kuwa ni mwanzo kilitoka wapi.Ni wazi kabisa ya kwamba HAPO MWANZO KABLA YA KUWAPO KWA VITU VYOVYOTE tunavyo viona KULIKUWA HAKUNA KITU lakini kulikuwa na NGUVU au NISHATI ambayo kwa namna yoyote ile LAZIMA TU iwepo nikasema MFANO sehemu ambayo hainajoto BARIDI lazima tu iwepo kwa hiyo ukiniuliza BARIDI ilitoka wapi siwezi kukuelewa maana NI LAZIMA TU IWEPO.Mwanzo kulikuwa hakuna kitu lakini kulikuwa na NGUVU/NISHATI ZENYE UWEZO WA KUFANYA KITU FULANI na hizi nishati ni lazima tu ziwepo kama nilivyo toa mfano wa joto na baridi.Vitu na uhai uliotokea umetokana na Reaction ya nguvu hizi katika specific condition ulisababisha utokeaje wa kitu fulani
 
Nice,mkuu,nikuulize swali??,unaamini katika uumbaji??,em nifahamishe kwa point hai niweze kuelewa.
MIMI SIAMINI KATIKA UWEPO WA POWER AMA NGUVU YOYOTE ILE,karibu sana ,nawapenda sana watu kama nyie mnaokariri mafundisho ya mapadri na mapastor bila kujiongeza,.ONDOA UOGA WA DHAMBI KISHA TUJADILI MADA HII KWA MAPANA

jibu swali nishati zimetoaje viumbe
 
Atubu kwa sababu gan,mbona mnajenga uoga bila sababu,we mungu ulishamuona??,

hana sifa ya kuonekana ,,,we utupu ushawahi kuona na sehemu kwenye utupu kukoje giza au?mana huoni kitu je unaona nini kwenye hali ya utupu
 
hana sifa ya kuonekana ,,,we utupu ushawahi kuona na sehemu kwenye utupu kukoje giza au?mana huoni kitu je unaona nini kwenye hali ya utupu

Tangu nianze kukuona humu jamii forum,hasa katika mada hiz ,hujawahi kufafanua kitu wewe kama wewe zaid ya kuuliza maswal.hatuko hapa kukujibu kila unachouliza bali kutoa hoja za msingi zitakazo tujaza maarifa.inawezekana we unajua kitu falan mi sijui ama kinyume chake,sa we ukiwa kila siku unauliza tuuuu,bila kuandika unachojua wewe tutafika??,.afu cha ajabu unajibiwa lakini bado unazalisha maswali pacha.afu huelewi kha!!,,
 
Back
Top Bottom