Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,017
Rudia maelezo yangu hapo juu,utupu ninaoumaanisha ni upi utajua soma tena....
Just annex the "quote"
Sijaona kitu kwenye post yako zaidi ya madai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudia maelezo yangu hapo juu,utupu ninaoumaanisha ni upi utajua soma tena....
Unahakika na ulichoandika,majibu yapo wazi mbona.Ngoja nikufahamishe,dunia inakadiriwa kuwa na umri wa miaka 4.5 billions.na uhai katika dunia unakadiriwa kuanza kutokea miaka 3.5,billions.,na uhai haukuanza mara moja kwamba tuna kiumbe hiki na kile,.taratibu uhai ukaanza majini kisha ardhini.sasa we nambie kutokana na Biblia dunia ina umri Gani na lini mungu kaumba??
Mungu ni nn??,kwa hiyo mungu ni nishat??
hahaa.. kumbe ni mfuasi wa Darwin,,,asante kwa shule mkuu,, haya mambo magumu sana ni imani tu ndo cha msingi. Biblia inasema hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na nchi (nchi maana yake dunia) haifafanui lini Mungu aliumba, hiyo itabaki kuwa siri ya Mungu,,, hata sayansi ina theorize tu kwa hili
Lazima tukubali ya kwamba lazima mwanzo kabisa kulikuwa na hakuna kitu lakini katika halihii ya kutokuwa hakuna kitu Kulikuwa na nguvu au nishati iliyo umbika Automatically kutokana na mabadiliko yaliyokuwa yanatokea yenyewe siku hadi siku.Combination hizi nishati zilikuwa zinazidi kusababisha uongezekaje wa nishati nyingine .Na combination ya baadhi ya nishati hizi ulisababisha utokeaji wa vitu.
Why do you like to assume? Assumption syndrome belongs to non theists, are you one of them?
Jibu swali: Dunia ina umri gani?
Jibu swali: Kivipi Mungu hawezi kuhusishwa na Nishati?
I don't think those are rocket science questions.
Maswali haya nishamjibu mdau mmoja hapo juu ila ntakujibu.
Dunia inakadiriwa kuwa na umri wa miaka 4.5 billions.na uhai ulianza duniani miaka 3.5 billions iliyopita.
Kuhusu nishati na MUNGU ,NIKUULIZE WEWE,maana unadai kwamba wanauhusiano na mikatka unithibitishie hilo
Kuhusu nishati na MUNGU ,NIKUULIZE WEWE,maana unadai kwamba wanauhusiano na mikatka unithibitishie hilo
Kama nchi maana yake Dunia,unaongelea vipi sayari kama Mars,Jupiter Venus n.k??,nazo ziliumbwa na mungu??,maana Earth (dunia)ni mojawapo wa sayari hizo.Basi nifahamishe kama mungu aliumba pia mars na vingine vyote kama hivyo na nambie wapi inaonesha hayo.
Annex the quote and or show me the post.
Prove to me that the earth is 4.5 Billions years. I need impeccable evidence and not vain fallacious dogmas.
Biblia yangu inanambia...in the beginning God created the universe... dunia na sayari nyinginezo zimo
Jibu swali: Kivipi Mungu hawezi kuhusishwa na Nishati?
Do you know how to read and understand?
Science ist not a Dogma,Dogmas are those u call words of GOD,science can be proved,its questionable and it has got vivid evidences??,sina maabala hapa kwa cm ningekuonesha ushahidi wa kutokea kwa dunia miaka 4.5 billions ilopita.nakushaur jaribu kusoma chunguz na historia mbalimbali.Usisome to Biblia ama koran maana zinafumba mambo haya.
Nishati sio mungu,nishati inaelezeka jinsi inavotokea na mungu kamwe Haelezeki bali kwa IMANI.,
How do you question " a non existence God"?
How did you come to that?
Bado unashindwa kusema kwanini Mungu hawezi kuhusishwa na Nishati. Did I say God is Energy?
How do you get energy "ex nihilo"?
Hawezi kuhusishwa na nishati kwa sababu HAYUPO
Why do you worship NOTHING!!??
MTAZAMO WANGU Kutokana na tafiti ndogo nilizo ninadhani mwanzo kabisa kabla ya kuwepo chochote kulikuwa hakuna kitu yaani utupu.
Katika huu utupu kulikuwa na Nguvu au nishati isiyo umbwa ya NISHATI YA BARIDI na umeme na nyinginezo
Kwa hiyo hizi nishati zisizo umbwasiku hadi siku zilikuwa katika hali ya mabadiliko jambo liliko sababisha kuongeza ku umbika kwa nishati au vitu vingine vinavyo umbika vyenyewe kulikuwa na vitu ambavyo vilikuwa vinaumbika AUTOMATIC.
.Na hisi kabisa mwanzo kabisa kulikuwa na utupu katika huo utupu kulikuwa na nishati mbalimbali zilizo kuwepo. Muunganiko wa hizo nishati ulisababisha utokeaji wa viumbe mbalimbali
Mimi mwanzoni kabisa ya ulimwengu kulikuwa kuna utupu. Baada ya utupu kukaa kwa muda mrefu vitu vyenyewe vikaanza kuumbika automatic.