Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
- Thread starter
-
- #41
πππππKama ulikuepo request Zina tuhangaisha kutokana na nyegeWadada wa watu wa JF hawanashida na Vigwagulo vyao, ukimpa ya Luku anakukatia mauno kama feniii, japo utatoka na kisamaki uvukize udi week..
NB : Ni wote.
Mwanaume unayehonga Ili kulinda Penzi HUNA AKILI..
Mwanaume unayehonga Ili kula mzigo, Sikulaumu Sana Mana nyege hazina akili.
Sasa mbn inakua kama mashindanoBila hivyo watapata wapi hela za kununua maziwa ya kuogea ili kulinda ngozi zao ?
Wahenga hawakoseagi weeApa wahenga walitupiga sana
kwahiyo tusipande bajaj?Ogopa sana biashara ambayo muuzaji anaondoka na bidhaa baada ya kuuza
Njaa na umasikini Ajira hakuna wameambiwa wajiajiri wengine sehemu zao za kujiajiri ni miili yaomaoni yako ni nini na kama wadada naomba mlidadavue hili jambo nini chanzo hasa
Marahabaaa dogo! Yolly yolly hajambo?? Ulisema Desemba keshokutwa tu vipi harusi tunayo niandae sare miee??[emoji1783]
Utaeleweka kwa asilimia ndogo sana.Maisha ni hatua maisha ni safari pesa isinunue utu wetu tujikubali na kuridhika na shida/ hali zetu!
Mwanamke ukiendekeza tamaa ya pesa lazima utatumika sana na kuwa mtumwa!
Shangazi anajuaaa ,π€ π€ π€ π€ π€ !Auntie kama mchawi vile [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ulijuaje na group nishaunda Mwezi wa 12 harusi
Tatizo binadamu ni wabishi sana π€ ! Ukweli mchungu!!Utaeleweka kwa asilimia ndogo sana.
Chanzo ni njaa na umasikiniMaisha ni hatua maisha ni safari pesa isinunue utu wetu tujikubali na kuridhika na shida/ hali zetu!
Mwanamke ukiendekeza pesa lazima utatumika sana na kuwa mtumwa!
kahaba anakuwaga ana mtu wake ambaye ana enjoy maana naye ni binadamu na ana hisia wengine pesa mbele kama taiSina hakika kama makahaba suala la kufurahia tendo wanalo! They're after money.
Wapo unawapiga mkuyenge mpaka anainjoi mwenyeweSina hakika kama makahaba suala la kufurahia tendo wanalo! They're after money.
Shangazi anajuaaa ,[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]!
So tunavaa vijora shangazi mtu nidinamie hili niandae oda kwa mama la mama Lamomy au sare nyingine spesheli???[emoji16]
Wee Mie sio mchawiiii nina maonooo afu huwa sisahau kirahisiπ€ π€ πππView attachment 2763180
Auntie ww mchawi sana umetisha sana
Harusi ipo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wee Mie sio mchawiiii nina maonooo mamdo! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1783]
Naona hadi mwamba anakushangaa hapo kwamba hadi Kijana mpenda mishangazi asie siriaz anawowa[emoji23][emoji23][emoji16]! Hongera sana usinisahau kadii lazima nihudhuriee hio harusi nitakuja na Mjomba wako!!
Sitanii!
Nakosajeee kwa mfanoo! Tena Desemba lazima nikuje kuserebuka!!Auntie kadi umepata aiseeeee usiwaze mambo ni moto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usikose kwenye harusi
Kabisa mzee.unaweza pata mke kumbe anauza.Tunapo elekea kuoa itakuwa ni jambo la kijasiri.