Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
🤣🤣🤣 Kuna kitu unanitafuta weweKwani ameanza kusumbua?[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Kuna kitu unanitafuta weweKwani ameanza kusumbua?[emoji23]
Hata mm naona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna kitu unanitafuta wewe
Hapa wa kuhurumiwa ni kijana anayeenda kujitambulisha ukweni, akatajiwa 5m mahari, mdada anataka gauni la uturuki, sherehe ya 30+m nk, huyu ndio wa kuhurumiwa na hawa ndio wake zetu, awe kapigwa mara moja moja au kila siku, ila wengihii ni idadi ya kawaida.
wako after money lakini ukimpa ipasavyo anafurahia vizuri tu,wengi wanunuzi hawajali kumridhisha muuzaji wao wanaangalia wao tu.Sina hakika kama makahaba suala la kufurahia tendo wanalo! They're after money.
Au akikwambia anafanya biashara ya kuuza mapochi.Huku kwetu ukimuuliza mdada anafanya biashara gani akakujibu anauza vijola inabidi ujiongeze tu kwamba analiwa mbele na nyuma Kama kijola kinavyovaliwa pande zote
Hao wadada wanaojiuza kukidhi mahitaji yao ya ngono😋 Unique Flower Mzee wa kupambaniaFabian Vitus .
Kwanza kuna watu wanateseka sana kimaslahi wameachwa na wanaume zao , tena nyumba zakupanga wanadaiwa kodi, maji, umeme , ada sio ya mtoto mmoja , zaidi ya mmoja halafu hata kama amesoma wanamnyima ajira mpaka atoe penzi unadhani atafanyaje unaongea tu maana unaongea maana unamdomo ,ila hutoi post yakusema hivi ni kwanini wababa au wanaume wanatelekeza ndoa zao ?
Mwingine ni kabakwa mpaka na leo anaona kujiuza ni haki yake kaharibika kisaikolojia , .
Mwingine unakuta anajiuza ili akidhi mahitaji yake yakingono , maana mmoja hamuwezi .
Mwingine nikama fani yake bila kujiuza haoni raha na anapenda maisha ya raha na asipojiuza hajitimizi haja zake ustaa zakuonekana
Wewe acha kuleta story za mwaka 47 hapa. Tunaishi na nyinyi huku mtaani usitupe takwimu za watu kumi kuelezea mwenendo wa watu laki moja.Fabian Vitus .
Kwanza kuna watu wanateseka sana kimaslahi wameachwa na wanaume zao , tena nyumba zakupanga wanadaiwa kodi, maji, umeme , ada sio ya mtoto mmoja , zaidi ya mmoja halafu hata kama amesoma wanamnyima ajira mpaka atoe penzi unadhani atafanyaje unaongea tu maana unaongea maana unamdomo ,ila hutoi post yakusema hivi ni kwanini wababa au wanaume wanatelekeza ndoa zao ?
Mwingine ni kabakwa mpaka na leo anaona kujiuza ni haki yake kaharibika kisaikolojia , .
Mwingine unakuta anajiuza ili akidhi mahitaji yake yakingono , maana mmoja hamuwezi .
Mwingine nikama fani yake bila kujiuza haoni raha na anapenda maisha ya raha na asipojiuza hajitimizi haja zake ustaa zakuonekana
Madaktari ukikaa nao wanakupa takwimu utawaonea huruma hawa mabinti life lao siku za mbeleni huko.Plus cervix cancer! Mimboro ya kila aina inaingia hapo huwezi chomoka bila tatizo la kiafya.
NjaaHivi karibuni kumekua na Lindi la wanawake katika maeneo mabalimbali mpk katka mitandao hii ya kijamii kufanya MIILI YAO kama BIASHARA ikifika kipindi hiki nakumbuka tangu mwenyezi Mungu alivyo umba ulimwengu nakumfanya Hawa kama msaidizi tangu alivyoingia katika kishawishi kudanganywa na nyoka kuhusu kuliwa kwa tunda la Katikati ndipo mmbo yalipo badilika mpk tunaishi kwa masimango duniani hili jambo likamkuta Samsoni kwa Delila aseee mpk Leo ndoa zinaishi kwa uongo tu swali je kama DELILA tu alidanganywe akutane na SAMSON kwenye penzi akiwa pesa zake kafungasha ilimradi tu aingie kwenye penzi zito kwa Samsoni na smson kaleweshwa na penzi unadhani sisi ni akina nani tutapona katika janga hili iliupate uterezi ktka Mbususu na nini alianzisha hili wazo angali Mungu alitoa vyote tuvitumie bure lkn wao kugeuza biashara mimi sio msomi wa bibilia lakini kwa uelewa wangu mdogo wenye mawazo mapana kupata Mpenzi asie na tamaa hii itakua ngumu kidogo isipokua kishaanza kujichokea ndio afanye maamzi mwenyew🌹😋😋maoni yako ni nini na kama wadada naomba mlidadavue hili jambo nini chanzo hasa
Ukiona demu anatibu UTI haiponi then usihangaike kujiuliza shida ni nini.Yutiai “KOMAVU” [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inasikitisha sana yaani kikweli waoaji miaka hii wanao wanawake used sanaHapa wa kuhurumiwa ni kijana anayeenda kujitambulisha ukweni, akatajiwa 5m mahari, mdada anataka gauni la uturuki, sherehe ya 30+m nk, huyu ndio wa kuhurumiwa na hawa ndio wake zetu, awe kapigwa mara moja moja au kila siku, ila wengihii ni idadi ya kawaida.
...mtoto yuko chuo anazichezea, akiwa mtaani miaka kumi kabla hajaolewa...anazichezea, wanaume mateso!
Na wao wanainjoi wanavyopigwa miti sio🤣Hao wadada wanaojiuza kukidhi mahitaji yao ya ngono😋 Unique Flower Mzee wa kupambania
Inategemea umempatia wapi!Lazma inuke nyama choma.
Nando hali saiv iko ivo ukipata demu auko peke yako.
... kwa watoto wadogo wasiojua kujisafisha vizuri UTI kwao inaeleweka. Ila kwa mabinti wakubwa hususan mabaa medi and similar groups kutamka unaugua UTI inatakiwa kuwa aibu.Ukiona demu anatibu UTI haiponi then usihangaike kujiuliza shida ni nini.
Sasa huu ni ukosekanaji wa elimu ya maisha au niniNjaa
😂😂😂😂SoMo juu ya SoMo makini chief... kwa watoto wadogo wasiojua kujisafisha vizuri UTI kwao inaeleweka. Ila kwa mabinti wakubwa hususan mabaa medi and similar groups kutamka unaugua UTI inatakiwa kuwa aibu.
Vijidudu vya UTI makazi yake ni njia ya haja kubwa na vikiwa huko havina madhara yoyote. Tatizo ni vikitoka huko kuingia njia ya haja ndogo ndipo huzaa UTI. Sasa vinatokaje nyuma kwenda mbele ndio jibu la point yako highlighted above!
Binafsi bado sana utasikia mimi mbn sipati mchumba lkin kujiuza haachi😂Inategemea umempatia wapi!
Ila bado wapo wanawake wanaojiheshimu. Binafsi ni shuhuda nimeshawahi kukutana nao.
Sasa apa ulikutana na kisanga cha namna hii unafanyajeDemu unamtongoza, baadae anakwambia "....utaniweza..........",unaweza kusema kwenye mapenzi labda kuna kubebana,kumbe ana maanisha fedha.