Chanzo halisi cha binadamu (Origins of mankind)

Alipo anzia mjusi chui simba na wanyama wengne ndipo apo binadamu alipo anzia
 
Walikuwa na Visual cortex kubwa, hii inamaanisha sehemu kubwa ya ubongo wao ilideal na kucontrol vision na kuucontrol ule mwili mkubwa, na siyo kufikiria(higher functions)...kwahyo walikuwa na cerebrum ndogo compared to sapiens
We jamaa umeresonate na kipindi fulani katika kutazama tazama TED talks nilishuhudia kitu kimoja: Wakati nachaguachagua nisikilize ipi youtube niache ipi ilikuwa kila nikichagua ambayo speaker wake ni kembamba fulani nakuta kana wazo/concept fulani interesting sana mada fikirishi kichizi!! zile wanaita paradigm shifting type of sh*t.

Nikawa nachagua talks zao za wale mabongebonge nnaziruka zinakuwa na mada za kawaida. Je kuna data zozote za kusapoti hili katika watu wanaoishi sasa hivi. Kwamba mwili mkubwa unapunguza fikra hasa zile ideal. Bila kuathiri zile practical mfano kuwinda wanyama wakali kwa utaratibu unaofahamika wa mapambano maana nguvu zipo? Mwenye mwili mdogo atalazimishwa kufikiri zaidi vile mnyama anaenenda halafu kumtengenezea mazingira/mtego wa kumkamata maana akienda kichwakichwa, ataliwa kichwa!!

Nasisitiza hapa kwamba nawaaminia sana mabonge katika vitu practical, mfano uchumi wa kampuni [ Ndo maana mameneja wengi ni mabonge 😂😂] wapo practical sana hawa jamaa. All in all tunategemeana; Maana yule practical ni practical most of time ni wa kawaida na ana akili njema. Ila yule ideal ana nafasi mbili 1. Kuwa jiniazi 2. Kuwa idiot. Sasa wakishirikiana ideal na practical watabalansiana, upumbafu watatupa kule na vya akili watavitumia vinakuwa new improved practical wote wanafaidi maisha.

Tena hali ya kidunia inaonekana kama kuanza kufavour watu wa practical zaidi labda ndio maana mabonge wanaongezeka. Lakini isije kuwa na nahofia ndivyo inavyokuwa kwamba mazingira yanatengenezwa ili kupata wafuasi na watumwaji weeeeeeeeengi badala ya viongozi na watu huru kifikra? Maybe it is for better who knows..
 
Hahah fanyia research hilo kwa humans upublish hiyo paper mkuu unaweza ukapata pHd.

ila hizi size comparisons na nini huwa zinafanywa kwa members wa species tofauti.
 
Uwezo wako wa history na geography ni mkubwa sana Mkuu
 
Nakazia
 
Duu...umefafanua baraka tele kwako.
 
Mkuu kwa hiyo Dini (miaka 6000 iliyopita ni imaginary ?)
 
dah jamaa yangu umedadavua vizuri mno dah akili nyingi
 
Mkuu kwa hiyo Dini (miaka 6000 iliyopita ni imaginary ?)
Dini ni nini mkuu! Hivi vitu ni man made kwa kusudi la kutujengea ustaarabu flani, utu na kujielewa, otherwise hakuna maana yoyote iwepo ama isiwepo, kwa maana hiyo, kwa miaka hiyo unaosema wewe sidhani kama kulikua na ustaarabu au kama walikua wanajielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…