Th los proffcnal
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 583
- 348
Serikali ingeanzisha utaratibu kodi zote za nyumba au frame za maduka ziwe zinalipiwa kwenye account bank ya mmiliki hii ingesaidia bank wangepata mapato na serikali nayo ingenufaika.
Pia malipo ya mtandaoni yangehamasishwa sana yakitokea magonjwa ya mlipuko kama CORONA inakuwa nafuu watu wanachanja kadi au kutumia malipo kwa kutumia mitandao ya simu.
Pia malipo ya mtandaoni yangehamasishwa sana yakitokea magonjwa ya mlipuko kama CORONA inakuwa nafuu watu wanachanja kadi au kutumia malipo kwa kutumia mitandao ya simu.