Th los proffcnal
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 583
- 348
duuu, Mimi mgumu Sana kuelewa, sijui niende kwa MWAMPOSA niombeweee,maana nimesoma sijaelewa kaisa.
1.Indirect Tax is More Potential. Huku Mtaani wameona kitendo cha kuondoa Motor Vehicle kulipiwa kwa Police kuna umuhimu na Bima nayo kulipiwa ki Indirect kwani Police-Traffic badala ya kukagua ubovu wa gari wamegeuka kuwa TIRA, TRA, TANROAD, UHAMIAJI, JWTZ n.k .duuu, Mimi mgumu Sana kuelewa, sijui niende kwa MWAMPOSA niombeweee,maana nimesoma sijaelewa kaisa.
Pole sana kwa kutoelewa ila hiyo ni inshu ndogo sana kwenye mambo ya uchumi kwenye mambo makubwa unaweza kuchanganyikiwa kabisaduuu, Mimi mgumu Sana kuelewa, sijui niende kwa MWAMPOSA niombeweee,maana nimesoma sijaelewa kaisa.
Umenielewa mkuu ila hapa simaanishi TRA waangalie mapato unayopata alafu waje wakukate ila kuweka tu hela bank kwa wapangaji itasaidia wenye nyumba wanapoenda kutoa hela kunakuwa na makato ambayo bank watapata hivyo na serikali nayo itapata kodi kupitia bank hizo.Hoja yake ni kwamba,kodi za frame za biashara ni kubwa mno.Lakini TRA hawapati kodi halali kutokana na malipo hayo.
Hivyo kulipia Bank itasaidia kuweka wazi kiasi cha pesa zinazolipwa.
Hata hivyo changamoto ni kwamba,ukionekana unalipia kodi kubwa,TRA wanakuogezea makadirio ya kodi kwa kudhani unapata faida kubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenielewa sana yani hii indirect tax haiwafanyi watu kuona wananyonywa kwenye ulipaji wa kodi mfano wakisema kila mwenye nyumba au fremu ya biashara awe na akaunti banki kwa ajiri ya malipo ya pango itasaidia maana watanzania wengi hawako katika mifumo hii ya kibanki na hapa kodi kubwa haikusanywi vizuri.1.Indirect Tax is More Potential. Huku Mtaani wameona kitendo cha kuondoa Motor Vehicle kulipiwa kwa Police kuna umuhimu na Bima nayo kulipiwa ki Indirect kwani Police-Traffic badala ya kukagua ubovu wa gari wamegeuka kuwa TIRA, TRA, TANROAD, UHAMIAJI, JWTZ n.k .
Kazi ya Police ni kukamata wenye Makosa lakini inafikia hatua wanazalisha na kukagua Magari bila hata kushirikisha wasimamizi wa Sheria husika.
Aina ya vikodi vya kulipwa Police trafdic its better wapewe jukumu la ku Control dangerous draving na Uimara wa Gari. Masuala ya Leseni, Bima, navyo wakatazwe vilipiwe Indirect.