Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nijuze huo mpaka ni sirari, horohoro au namanga?Na kuna jamaa wako mpaka flani wa kilimanjaro na kenya wao wanatumia cheti fake wanaiibia serikali kabisa, bora ugongewe muhuri kwa cheti halali, unapewa cheti fake, kinagongwa muhuri wananunua karatasi cha njano kutoka stationary wanaprint, haela inakuwa yao serikali inapata ziro. Magufuli anakazi kubwa sana nchi hii.
unataka upatiwe hiyo fake au? sijakusoma ujue.mkuu nijuze huo mpaka ni sirari, horohoro au namanga?
Hivi huo ugonjwa wa manjano upo kweli au?