Chapa ya Mpinga Kristo nyuma ya Worldcoin na Crypto currency, AI robot

kama mnakubali kuwekewa vijiti kwajili ya kufunga uzazi sembuse hizo chip? zitakuja na watu watazitumia bila shaka ila sio kizazi hiki.... watoto wetu na wajukuu wetu ndio wako hatarini mana katoto hakajaanza hata shule ya msingi kanaijua smartphone hatar
 
Wakenya kibao juzi kati wamepiga cyptos za kutosha baada ya kukubali kufanyiwa scanning za mboni zao,hata hapa tz nadhani washapita na wadau kadhaa,maana wakulungwa wamemwagwa Africa kama njugu,na wanachofanya inafanana na pyramid scheme,mtu akikubali anapewa Hela ya crypto then unaambiwa ulete na wenzio Hela iongezeke.This shit is real
 
mtu bila kujiuliza hizo hela za bure zinatoka wapi, wanakuja kuponda ety hizi ni sela za walokole...
Kenya baadae walisitisha ila inasemekana wataendelea na scanning
 
mtu bila kujiuliza hizo hela za bure zinatoka wapi, wanakuja kuponda ety hizi ni sela za walokole...
Kenya baadae walisitisha ila inasemekana wataendelea na scanning
Wazew wa hersey
 
Kwani hapo wakifanyiwa scannning hyo nini kinatokea mkuu.

Yani ni nini purpose ya hiyo project
 
Kwani hapo wakifanyiwa scannning hyo nini kinatokea mkuu.

Yani ni nini purpose ya hiyo project
Hili swali lako limejibiwa tayari katika uzi huu kwani hujaelewa ?
Jaribu kuuliza maswali ambayo majibu yake yamejifucha.
 
Hili swali lako limejibiwa tayari katika uzi huu kwani hujaelewa ?
Jaribu kuuliza maswali ambayo majibu yake yamejifucha.
Wewe ulipaswa kujibu post #44
 
Tofautisha kutumia fedha yenye alama za kishetani na kupandikizwa alama za kishetani kwenye mwili wako ni mambo mawili Tofauti
 
Kadri siku zinavyoenda nazidi kuona mpinga wakristo ni mzuri na anakuja kuisaidia Dunia kwakiwango kikubwa sana
 
Kadri siku zinavyoenda nazidi kuona mpinga wakristo ni mzuri na anakuja kuisaidia Dunia kwakiwango kikubwa sana
ni kweli, ili kristo arudi ni lazima kwanza maisha yawe kawaida, watu watakua wakila na kunywa na kuowana na kuzaa.

Lakini chunga usije ukapoteza Nafsi na Roho yako.
 
Mkuu unajua una relate vitu ambavyo haviendani. Kwanza nataka nikueleze kwamba hayo uliyo copy na kuyapaste hapa mimi ndiye nimeyetafsiri kutoka kiingereza kuja kiswahili kwa ajili ya tovuti yao.
Halafu jambo la pili worldcoin haiwezi kuwa mpinga kristo kwa sababu kwanza marekani haijakubali kufanya kazi kwake ndiyo maana iko nchi za america ya kusini na asia huko na kenya ilikuwa imeanza kusajili watu ila ikasitishwa kwa sababu ya hofu za usalama wa taarifa.
World ID, lilikuwa wazo zuri na lengo lilikuwa mtu aweze kuverify taarifa bila kujulikana ni nani baada ya kufanya usajili wake. Worldcoin hawakutaka mtu mmoja awe na ueezo wa kufoji vitu labda akamiliki akau ti zaidi ya moja kwasababu kwa world id huwezi kujisajili mara mbili.
Lakini hili limefail nchi nyingi haziko radhi wananchi wake wascan mboni zao za macho so, ingekuwa kweli ni mpinga kristo basi nchi kubwa kubwa kama Marekani na Uingereza wangesupport hiki kitu.
Kwa jinsi mambo yalivyo The Foundation naona kwa hiki kitu haitofanikiwa.
 
Pesa moja dunia nzima haito fanikiwa ?
Kuuza na kununua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…