AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
Hata kama aisee ila majamaa kwa chapati kwao ni anasa sana ,Kuna mmoja akikuwa anasisitiza kwenye harusi yake lazima chapati ziwepoKabla ya kufungua uzi kwann usifikirie walau kidogo?mbona wali kwenye sherehe unapikwa Kwani mtaani haupikwi kila kona?Au wali nao ni anasa Tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa tz lakini,sio KenyaChapati yao ngumu kama gazeti haina ladha japo kuna wengine wanapika vizur...but ni chakula chip kushinda vyote
Ndio nichakula Chao cha anasa wanaziita ChapoooNimeshuhudia kwenye maharusi mengi ya Kenya,chapati ni sehemu ya chakula chao cha anasa sana wakati tz chapati zinauzwa kila kona kwa bei chee tu.
Hii ikoje wakenya???
Nimeshuhudia kwenye maharusi mengi ya Kenya,chapati ni sehemu ya chakula chao cha anasa sana wakati tz chapati zinauzwa kila kona kwa bei chee tu.
Hii ikoje wakenya???
Wanazipenda halafu wengi wao hawajui kuzipika.Ila wakenya wanapenda chapati.
Cc pingli-nywee