Chapati ni chakula cha anasa kenya?

Chapati ni chakula cha anasa kenya?

Kabla ya kufungua uzi kwann usifikirie walau kidogo?mbona wali kwenye sherehe unapikwa Kwani mtaani haupikwi kila kona?Au wali nao ni anasa Tz


Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama aisee ila majamaa kwa chapati kwao ni anasa sana ,Kuna mmoja akikuwa anasisitiza kwenye harusi yake lazima chapati ziwepo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa unasema nini? Chapati ni shilingi kumi kenya... Yani hio ni the second staple food after Ugali Kenya. Wakenya hupenda Chapati na pilau sanasana kwa sherehe.
Nimeshuhudia kwenye maharusi mengi ya Kenya,chapati ni sehemu ya chakula chao cha anasa sana wakati tz chapati zinauzwa kila kona kwa bei chee tu.

Hii ikoje wakenya???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NairobiWalker, MK254 tunahitaji maoni yenu hapa.
Sisi wengine hatujawahi kuvuka mpaka.

Sijamuelewa mleta mada, aidha analalamika au anasifia, yaani ina maana ukipenda aina fulani ya chakula inakua anasa.
Pia inategemea anazungumza kuhusu Wakenya wa wapi, maana wa Pwani kule utakuta biriani, pilau, na wali.
Sisi wa mikoani pia tuna aina tofauti, kunao wanapenda ugali na wengine hula makande.
Zamani enzi nikiwa mdogo chapati tulikua tunaziona za maana, lakini siku hizi zinapikwa kila kona mtaani tena kwa bei nafuu.
 
Tukiwa wadogo chapati ilikuwa kitu cha maana sana. Mama akipika jikoni, unachungulia tu na kutokwa na mate. Hata hio siku mtu haendi kucheza mbali, mtu anacheza tu karibu na nyumbani.
 
Ni kama pizza kwao nilishangazwa na jinsi wanavyoshobea chapati, tena chapati zenyewe zile ngumu kama sahani wakati Tanzania chapati ni chakula cha kawaida na huliwa kila asubuhi,

Wakati kwa wakenya mkate ndio chakula na chapati ni nobles dish 🍲 😂😂
 
Back
Top Bottom