Chapati ni chakula cha anasa kenya?

Mgahawa au mkahawa kama mnavyoita huko maana yake ni cafe, ina maana unataka kusema westy hakuna cafe au restaurant yoyote? Au unafikiri wewe pekee ndio unaijua Nairobi humu?
 
Issue sio kiswanglish ila ni viunganishi kwenye sentensi...enye, iko...nk ndo utamu wa lafudhi ya wakenya. I like it
Mi hupenda kuangalia tamthilia za wakenya ili nisikie ladha ya lugha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Okay sikuwa najua kuna tofauti ya viunganishi. Nimejifunza kitu leo. Badala ya viunganishi enye na iko kwani ninyi huwa mnatumia viunganishi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…