Chapati ni chakula cha anasa kenya?

Chapati ni chakula cha anasa kenya?

sitabishana ma wewe westy ni place moja,lakini ukisema westlands ni kubwa,lakini westy hakuwa mkahawa my friend,acha kutupima hapa,ndo maana nimesema maybe westlands coz kikuyu pia iko westlands na many other places,but huku si usema westland kumean westy
Mgahawa au mkahawa kama mnavyoita huko maana yake ni cafe, ina maana unataka kusema westy hakuna cafe au restaurant yoyote? Au unafikiri wewe pekee ndio unaijua Nairobi humu?
 
Issue sio kiswanglish ila ni viunganishi kwenye sentensi...enye, iko...nk ndo utamu wa lafudhi ya wakenya. I like it
Mi hupenda kuangalia tamthilia za wakenya ili nisikie ladha ya lugha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Okay sikuwa najua kuna tofauti ya viunganishi. Nimejifunza kitu leo. Badala ya viunganishi enye na iko kwani ninyi huwa mnatumia viunganishi gani?
 
Back
Top Bottom