pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Ila wakenya wanapenda chapati.
Cc pingli-nywee
Shukran jiranSijamuelewa mleta mada, aidha analalamika au anasifia, yaani ina maana ukipenda aina fulani ya chakula inakua anasa.
Pia inategemea anazungumza kuhusu Wakenya wa wapi, maana wa Pwani kule utakuta biriani, pilau, na wali.
Sisi wa mikoani pia tuna aina tofauti, kunao wanapenda ugali na wengine hula makande.
Zamani enzi nikiwa mdogo chapati tulikua tunaziona za maana, lakini siku hizi zinapikwa kila kona mtaani tena kwa bei nafuu.
Nyie wamasaai si mnakula ugali na maziwa mala hapo kajiado? [emoji28][emoji28]
Chapati ie very cheap here, 10ksh chapati moja. But watu wanapenda chapati sanaNi kama pizza kwao nilishangazwa na jinsi wanavyoshobea chapati, tena chapati zenyewe zile ngumu kama sahani wakati Tanzania chapati ni chakula cha kawaida na huliwa kila asubuhi,
Wakati kwa wakenya mkate ndio chakula na chapati ni nobles dish 🍲 😂😂
Haha ni mentality kwa harusi kazima chapo ikue,pilau ,mokimo etc hapo siongei,lakini pia huku chapo ziko kila mahali na ni cheap tu ukiwa na 10 au 20 bob unapataNimeshuhudia kwenye maharusi mengi ya Kenya,chapati ni sehemu ya chakula chao cha anasa sana wakati tz chapati zinauzwa kila kona kwa bei chee tu.
Hii ikoje wakenya???
Kwani nyi hupika aje? si i think chapo nyi hupika tu same na sisiYes wanapenda ila kupika sio mafundi kama wa Tz
haha sijui hio ni ya wapi but si huwa hatupiki chapati ngumu si hupika soft na yenye nyama ,lakini ka ni za kuuzwa wao hupika konda konda but huwa cheapChapati yao ngumu kama gazeti haina ladha japo kuna wengine wanapika vizur...but ni chakula chip kushinda vyote
haha true i like ovacado alot,naeza kula Ovacado na kila type of meal,shida ni its very expensive
Umesahau Mukimo,na cabbage na supuu ya nyamaJaluo na waluhya wanapenda ugali. Ukipika vyakula aina yote na uspike ugali basi hiyo si sherehe kwao.Watalalamika na utalazimika kupika.
Kikuyuni wanapika wali(pilau) na stew
Chapati si lazima but you can include it
Uongo chapo zetu ni soft,kwanza za kina Amina hahahaNi kama pizza kwao nilishangazwa na jinsi wanavyoshobea chapati, tena chapati zenyewe zile ngumu kama sahani wakati Tanzania chapati ni chakula cha kawaida na huliwa kila asubuhi,
Wakati kwa wakenya mkate ndio chakula na chapati ni nobles dish [emoji502] [emoji23][emoji23]
Wakikuyu wanapenda wali? Wakikuyu wa wapi hao?Kikuyuni wanapika wali(pilau) na stew
Hahahaa... Bila shaka wewe ni MluhyaNyumbani kwetu chapooo tunakula kama snack tukingoja Ugali iive!!!!
Hudhuria harusi zao na 'ruracio' hutapata githeri/ugali.Wakikuyu wanapenda wali? Wakikuyu wa wapi hao?
Naowafahamu wanapenda githeri, mokimo na ugali.
Haha wakiuk wanapenda cabbage na waru. Huwa wanataniwa eti wao huweka waru kwa kila kitu except teaUmesahau Mukimo,na cabbage na supuu ya nyama
Uri mwega.Hudhuria harusi zao na 'ruracio' hutapata githeri/ugali.
Wanapika pilau,stew ya nyama,mukimo chicken, cabbage na kadhalika.kwa harusi za wajaluo ndio hutakosa ugali.