Chapati ni chakula cha anasa kenya?

Chapati ni chakula cha anasa kenya?

Aaah wapi, 'chapoo' ni chakula cha kunasia panya bana, #TeamUgaliForever!
X5MYYP0Gcwimages.jpeg
Ila wakenya wanapenda chapati.
Cc pingli-nywee
 
Wakenya wanakula chapati kwa kijiko au umma baada kuikata vipande vipande. Ulaji Chapati kwa kuchovya mwisho mwambao wa pwani.
 
Sijamuelewa mleta mada, aidha analalamika au anasifia, yaani ina maana ukipenda aina fulani ya chakula inakua anasa.
Pia inategemea anazungumza kuhusu Wakenya wa wapi, maana wa Pwani kule utakuta biriani, pilau, na wali.
Sisi wa mikoani pia tuna aina tofauti, kunao wanapenda ugali na wengine hula makande.
Zamani enzi nikiwa mdogo chapati tulikua tunaziona za maana, lakini siku hizi zinapikwa kila kona mtaani tena kwa bei nafuu.
Shukran jiran
 
Nyumbani kwetu chapooo tunakula kama snack tukingoja Ugali iive!!!!
 
Kitambo hicho nshagonga chapati za maana na Mchuzi wa Jodari ndani ya Mombasa,Labda anga za uko Nai lakini pande za Msa vitu wanajuwa kuvitoa.
 
Ni kama pizza kwao nilishangazwa na jinsi wanavyoshobea chapati, tena chapati zenyewe zile ngumu kama sahani wakati Tanzania chapati ni chakula cha kawaida na huliwa kila asubuhi,

Wakati kwa wakenya mkate ndio chakula na chapati ni nobles dish 🍲 😂😂
Chapati ie very cheap here, 10ksh chapati moja. But watu wanapenda chapati sana
 
Nimeshuhudia kwenye maharusi mengi ya Kenya,chapati ni sehemu ya chakula chao cha anasa sana wakati tz chapati zinauzwa kila kona kwa bei chee tu.

Hii ikoje wakenya???
Haha ni mentality kwa harusi kazima chapo ikue,pilau ,mokimo etc hapo siongei,lakini pia huku chapo ziko kila mahali na ni cheap tu ukiwa na 10 au 20 bob unapata
 
Chapati yao ngumu kama gazeti haina ladha japo kuna wengine wanapika vizur...but ni chakula chip kushinda vyote
haha sijui hio ni ya wapi but si huwa hatupiki chapati ngumu si hupika soft na yenye nyama ,lakini ka ni za kuuzwa wao hupika konda konda but huwa cheap
 
Ni kama pizza kwao nilishangazwa na jinsi wanavyoshobea chapati, tena chapati zenyewe zile ngumu kama sahani wakati Tanzania chapati ni chakula cha kawaida na huliwa kila asubuhi,

Wakati kwa wakenya mkate ndio chakula na chapati ni nobles dish [emoji502] [emoji23][emoji23]
Uongo chapo zetu ni soft,kwanza za kina Amina hahaha
 
Back
Top Bottom